Nawe ndiye barmaid uliyekuwa unagombewa!!Walikuwa wanagombea barmaid na mteja mwingine
We unajua kapigwa na nani huko bar alikokua anakunywa tangu saa moja hadi nne?
Kimsingi ungekuwa wewe ni RCO Dar naamini using usingeacha kumhoji huyu mtu anaitwa Frey. Maana kuna chanzo cha taarifahilo tishio la FREY, mbona halifanani na hilo shambulio, key words alizotamka ni za ki-mamlaka "kufungwa jela na uhaini" inaweza isiwe na uhusiano na siasa, hawa mapadre wanaishi kama wananchi wa kawaida na wana mishe mishe za mtaani nyingi tu ambazo anaweza kujiingiza kwenye migogoro na watu wengine
Mwenyekiti hajiwezi. Hata kukemea hawezi ndiyo maana watu wanahisi amebariki. Maana Ali Kibao katekwa hakuna hatua zimechukuliwa. Sativa katupwa Katavi na SACP Faustine Mafwele naye bado yuko ofsini."Sio kila shambulio Lina baraka za mwenyekiti!mengine ni maovu ya watu kwa malengo yao"Mwenye hekima alisikika!!
NAKAZIA ✍️Nawe ndiye barmaid uliyekuwa unagombewa!!
Kazi ya upolisiKwani Muliro anajuwa nini?
Wahudumu wa hapoCanteen ya TEC Kurasini unaifahamu? Ma barmaids wanatokea wapi pale?
Jipe moyoWahalifu na walio nyuma ya wahalifu watakamatwa mapema tu maana wamegusa taasisi yenye mfumo thabiti na huwa hawabahatishi.
Unasema unaka. ZwNAKAZIA ✍️
CCTV kamera zitaonyesha alivyokuwa anamshikashikaJe wewe ni mmoja wa wahudumu waliogombewa?
Naona Sasa shingo inaenda kung'oka baada ya kusikitika kwa kipindi kirefu.Inasikitisha sana, JPM alisingiziwa mabaya mengi sana