Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Mbona kitambo ilishang'oka, sasa hv natembea nayo kwenye mfuko wa plastikiNaona Sasa shingo inaenda kung'oka baada ya kusikitika kwa kipindi kirefu.
Mbona kitambo ilishang'oka, sasa hv natembea nayo kwenye mfuko wa plastikiNaona Sasa shingo inaenda kung'oka baada ya kusikitika kwa kipindi kirefu.
Kuna mtu ana details zake zaidi. Inasemekana anaishi Mbezi Beach Makonde na si raia wa TanzaniaYawezekana ni account ya kamanda Muliro mwenyewe.
Utaahira na upumbavu, au ushenzi ni huo.Hilo halina ubishi, mwasisi wa kazi chafu ni Magufuli kuanzia mwaka 2017 alipomshambulia Lissu kwa risasi 16 akiwa bungeni, kuharibu uchaguzi wa S/ Mitaa wa 2019 na kuiba uchaguzi wote wa 2020 kisha kutujazia bunge la 99% CCM. Samia na watu wake wameazima ukurasa na wanapita humo humo,
Kama utabisha hili, wahi Mirembe ukaonane na Daktari wa afya ya akili.
Kweli Tanzania ni mahali salama bila dikteta MagufuliUtaahira na upumbavu, au ushenzi ni huo.
Magufuri alikua mchapa kazi. Aliepinga masrahi ya taifa Kwa namna yoyote Ile aligeuka adui yake.
Kipindi hicho TZ ilikua na mgongano wa kimasrahi na makampuni ya madini, Kwamba kina kikwete waliingia mikataba mibovu, TZ haipati kitu na udanganyifu wa kiwango Cha madini ni mwingi mno.
Lisu kwa kua upande wa ukosoaji na kusaidia hayo makampuni, yanamnunua anakua wakili wao na Kwamba hata miradi ya maendeleo pesa isitoke Kwa wao kutangaza Kwa wafadhiri kua TZ hamna hiki Wala kile demokrasia haipo, Kwa Magu ilikua ni kosa. Watu kama Lisu Kwa nchi za Uchina, Russia na Marekani hua wanapotezwa kimya kimya, sio Kwa stail hiyo ya risasi hadharani.
Sasa huyu mama yeye anapiga wakosoaji Kwa sababu ya ulaji. Hamna masrahi ya taifa yanayopiganiwa hapo. Ni ulaji na upigaji tu wa dili.
Tofautisha vizuri hivyo vitu haviko sawa.
Ilisemwa wapinzani Zanzibar wazushiMambo yale yale ya Zanzibar ya Miaka ile yamerudi tena?
Hayo yote hayahalilishi hiki kinachoendelea. Hao uliowataja hapo juu walimkosoa sio katika namna ya kujenga taifa, ni katika kuleta mfumo wa usawa Kwa kigezo Cha demokrasia, bila kuzingatia utaifa.Kweli Tanzania ni mahali salama bila dikteta Magufuli
1. Mauaji ya akina Ben Saanane, Azory Gwanda na wale zaidi ya 300 wa Mkuranga, Kibiti na Rufiji
2. Kumshambulia Tundu Lissu
3. Kumtuma yule hayawani Makonda kuvamia kituo cha Clouds
4. Kumteka Mo Dewji na Roma Mkatoliki
5. Wale waliokuwa wanatupwa kwenye viroba baharini na mto Ruvu.
6. Kimfukuza kazi CAG Assad baada ya kuhoji zilipo Tsh 2.5 Trillion
7. Kujenga mmiundombinu mikubwa kijijini kwake Chato kama uwanja wa ndege, referral hospital
8. Kunyang'anya fedha za wafanyabiashara
9. Kupuuza kujikinga na COVID-19, na hatimaye ikamtoa mazima yeye mwenyewe
10. Kuiba uchaguzi wote wa 2019 na 2020
Kuna biashara sisizo na tija, biashara ambayo ipo katika mfumo wa utakstishaji pesa, aliifunga. Biashara ambayo zinasaidia watu kinyume na masrahi ya taifa, aliziona hazifai.Kweli Tanzania ni mahali salama bila dikteta Magufuli
1. Mauaji ya akina Ben Saanane, Azory Gwanda na wale zaidi ya 300 wa Mkuranga, Kibiti na Rufiji
2. Kumshambulia Tundu Lissu
3. Kumtuma yule hayawani Makonda kuvamia kituo cha Clouds
4. Kumteka Mo Dewji na Roma Mkatoliki
5. Wale waliokuwa wanatupwa kwenye viroba baharini na mto Ruvu.
6. Kimfukuza kazi CAG Assad baada ya kuhoji zilipo Tsh 2.5 Trillion
7. Kujenga mmiundombinu mikubwa kijijini kwake Chato kama uwanja wa ndege, referral hospital
8. Kunyang'anya fedha za wafanyabiashara
9. Kupuuza kujikinga na COVID-19, na hatimaye ikamtoa mazima yeye mwenyewe
10. Kuiba uchaguzi wote wa 2019 na 2020
Hata sura kwenye picha inakuwa ni 'parody'?Hayo ni ma parody accounts sio watu halisi
Utashangaa linaendeshwa na mwenezi wa ccm😁
Ni mwanzo wa utengenezaji wa maksudi wa taarifa ya upotoshaji ikimhusu mhanga wa tukio, kuonyesha kuwa alipopatwa na mkasa uliompata alikuwa sehemu ya mkasa huo. Alijiweka mwenyewe katika hali hatarishi kwake.Kwa nini wamesema akiendelea kupata kinywaji??
Vision mnaiona nyinyi wapumbavu tu!Hayo yote hayahalilishi hiki kinachoendelea. Hao uliowataja hapo juu walimkosoa sio katika namna ya kujenga taifa, ni katika kuleta mfumo wa usawa Kwa kigezo Cha demokrasia, bila kuzingatia utaifa.
Hivi, ni kipi Bora kati ya hivi.
mtu kama jiwe aongoze nchi, rasilimali zilindwe hata Kwa damu na maendeleo yaonekane Kwa watu wanaofanya kazi, sio wapiga dili au
Mtu kama mama aongoze nchi, vitu, rasilimali wapewe wageni na wakosoaji wa Hilo damu zimwagike?
Magu alikua na vision ambayo low minded people hawawez muelewa. Mama aliingia na mfumo wa jumkosoa mtanguliz wake ambao kinsingi haufanyi kazi. Ni mfumo unaitengeneza wanufaika wa jeki ya taifa kubwa wachache na akili isipotumika, madhara ndio haya unayoyaona.
We jamaa😀😀Vision mnaiona nyinyi wapumbavu tu!
Alikuwa mpumbavu tu kama wewe na ndiyo maana unamu admireKuna biashara sisizo na tija, biashara ambayo ipo katika mfumo wa utakstishaji pesa, aliifunga. Biashara ambayo zinasaidia watu kinyume na masrahi ya taifa, aliziona hazifai.
Kinsingi TZ inahitaji maendeleo na sio hizo demokrasia za kutetea upigaji na ugawaji wa rasilimali.
Mbona wewe hawakukua kama unafikira za kinyumbu hivyo?Kweli Tanzania ni mahali salama bila dikteta Magufuli
1. Mauaji ya akina Ben Saanane, Azory Gwanda na wale zaidi ya 300 wa Mkuranga, Kibiti na Rufiji
2. Kumshambulia Tundu Lissu
3. Kumtuma yule hayawani Makonda kuvamia kituo cha Clouds
4. Kumteka Mo Dewji na Roma Mkatoliki
5. Wale waliokuwa wanatupwa kwenye viroba baharini na mto Ruvu.
6. Kimfukuza kazi CAG Assad baada ya kuhoji zilipo Tsh 2.5 Trillion
7. Kujenga mmiundombinu mikubwa kijijini kwake Chato kama uwanja wa ndege, referral hospital
8. Kunyang'anya fedha za wafanyabiashara
9. Kupuuza kujikinga na COVID-19, na hatimaye ikamtoa mazima yeye mwenyewe
10. Kuiba uchaguzi wote wa 2019 na 2020
Mbona wewe hawakukua kama unafikiria kinyumbu hivyo?Mbona wewe hawakukua kama unafikira za kinyumbu hivyo?
Huyo hawezi mkamataAngalia tweets zake hapa:-
View attachment 3321534
Wanaomtambua watuthibitishie kama huyu ndiye mwenye jina.
View attachment 3321535
Yaonekana ni CCM diehard, hiyo ndiyo picha yake inayoonekana kwenye background ya akaunti yake ya twitter.
View attachment 3321537 Ni mpenzi wa Yanga na aliingia Twitter mwaka 2018
View attachment 3321540
Hilo tishio alitoa juzi Jumanne tarehe 29/04/25
View attachment 3321541
Tishio jingine tarehe 28/04/25
Na kweli yametokea Padri Kitima kashambuliwa usiku wa kuamkia Mei Mosi.
Usifiche udhalimu wa huyo shetani kwenye kivuli cha uchapakaziUtaahira na upumbavu, au ushenzi ni huo.
Magufuri alikua mchapa kazi. Aliepinga masrahi ya taifa Kwa namna yoyote Ile aligeuka adui yake.
Kipindi hicho TZ ilikua na mgongano wa kimasrahi na makampuni ya madini, Kwamba kina kikwete waliingia mikataba mibovu, TZ haipati kitu na udanganyifu wa kiwango Cha madini ni mwingi mno.
Lisu kwa kua upande wa ukosoaji na kusaidia hayo makampuni, yanamnunua anakua wakili wao na Kwamba hata miradi ya maendeleo pesa isitoke Kwa wao kutangaza Kwa wafadhiri kua TZ hamna hiki Wala kile demokrasia haipo, Kwa Magu ilikua ni kosa. Watu kama Lisu Kwa nchi za Uchina, Russia na Marekani hua wanapotezwa kimya kimya, sio Kwa stail hiyo ya risasi hadharani.
Sasa huyu mama yeye anapiga wakosoaji Kwa sababu ya ulaji. Hamna masrahi ya taifa yanayopiganiwa hapo. Ni ulaji na upigaji tu wa dili.
Tofautisha vizuri hivyo vitu haviko sawa.
Kwa hiyo yeye alikuwa nabii na mwenye utaalamu wa kujuwa biashara zinazotakasa fedha? Acha kiumpa mwendazake utukufu feki?Kuna biashara sisizo na tija, biashara ambayo ipo katika mfumo wa utakstishaji pesa, aliifunga. Biashara ambayo zinasaidia watu kinyume na masrahi ya taifa, aliziona hazifai.
Kinsingi TZ inahitaji maendeleo na sio hizo demokrasia za kutetea upigaji na ugawaji wa rasilimali.
Ugomvi wa waleviUkisoma barua ya Polisi inahusu mtu mmoja kushikiliwa kwa tuhuma za kujeruhiwa kwa Padri Kitima.
Nikisoma naona umuhimu upo kwenye mtu kushikiliwa kwa hizo tuhuma.
Lakini kwenye barua hii ya mtu kushikiliwa ni sentensi moja kabla ya sentesi ya ku conclude.
Halafu barua yote inaelezea kutokea tukio la kujeruhiwa na kutilia mkazo kuwa aliyejeruhiwa alikuwa kantini "anapata kinywaji" kuanzia saa 1 baada ya mkutano mpaka saa nne na robo alipoenda maliwatoni.🤣
Sasa ndio tumjue Padri Mlevi au tukio halikutokea kalewa na kuanguka etc