Kamanda mwenzetu Joyce Mukya yuko wapi? Ni mmoja wa makada waliolamba viti maalum kiaina. Anatakiwa atoe neno kipindi hiki kigumu

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Alikuwa mmoja wa viti maalumu waliongia kwa nguvu maalumu bungeni.

Sasa hivi dhahama imeikumba chama chetu. Basi anatakiwa kama kada mwandamizi aonekane mbele ya umma.

Atoe neno maana kama chama tunahitaji faraja.
 
... hivi huyu ndiye aliwahi kuvamia msiba usiomhusu akidai marehemu ni MUMEWE?
 
Alikuwa mmoja wa viti maalumu waliongia kwa nguvu maalumu bungeni.

Sasa hivi dhahama imeikumba chama chetu. Basi anatakiwa kama kada mwandamizi aonekane mbele ya umma.

Atoe neno maana kama chama tunahitaji faraja.
Analea watoto wa gaidi mbowe mida hii muacheni sio peke yake aliyelamba viti maalum

USSR
 
Alikuwa mmoja wa viti maalumu waliongia kwa nguvu maalumu bungeni.

Sasa hivi dhahama imeikumba chama chetu. Basi anatakiwa kama kada mwandamizi aonekane mbele ya umma.

Atoe neno maana kama chama tunahitaji faraja.
Ahsante Wakudadavuwa kwa maoni yako. Chadema bado chama chako kipenzi, upo CCM kuchumia tumbo. Hata Mwenyekiti SASHA anajua.
 
Alikuwa mmoja wa viti maalumu waliongia kwa nguvu maalumu bungeni.

Sasa hivi dhahama imeikumba chama chetu. Basi anatakiwa kama kada mwandamizi aonekane mbele ya umma.

Atoe neno maana kama chama tunahitaji faraja.
Kamanda kwani,huyo unamtafutia nini,aukwa kuwa ulishiriki ubambikiaji wa mtu,au ulifarijika kwao kwa kuona utaweza kunufaika vipi?
 
Back
Top Bottom