Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Kamanda afadhali wewe umeliona hili.Alikuwa mmoja wa viti maalumu waliongia kwa nguvu maalumu bungeni.
Sasa hivi dhahama imeikumba chama chetu. Basi anatakiwa kama kada mwandamizi aonekane mbele ya umma.
Atoe neno maana kama chama tunahitaji faraja.
Analea watoto wa gaidi mbowe mida hii muacheni sio peke yake aliyelamba viti maalumAlikuwa mmoja wa viti maalumu waliongia kwa nguvu maalumu bungeni.
Sasa hivi dhahama imeikumba chama chetu. Basi anatakiwa kama kada mwandamizi aonekane mbele ya umma.
Atoe neno maana kama chama tunahitaji faraja.
Unamsingizia... hivi huyu ndiye aliwahi kuvamia msiba usiomhusu akidai marehemu ni MUMEWE?
Alianzishiwa mpaka Wizara yake huyu ya uwekezaji miaka hiyo, huku life partner wake akisukumiziwa mashariki ya mbali huko kama mwakilishi wa nchi.Mama madini/Mama Kairuki Yuko wapi Siku hizi?kitambo sana.
... Usahihi ni upi?Unamsingizia
Nan alikwambia huyo ni kamanda? Maan Lumumba hakunaga makamandaKamanda afadhali wewe umeliona hili.
Lumumba hakuna ugaidiNan alikwambia huyo ni kamanda? Maan Lumumba hakunaga makamanda
Ahsante Wakudadavuwa kwa maoni yako. Chadema bado chama chako kipenzi, upo CCM kuchumia tumbo. Hata Mwenyekiti SASHA anajua.Alikuwa mmoja wa viti maalumu waliongia kwa nguvu maalumu bungeni.
Sasa hivi dhahama imeikumba chama chetu. Basi anatakiwa kama kada mwandamizi aonekane mbele ya umma.
Atoe neno maana kama chama tunahitaji faraja.
Hamza ni mzalendo?Lumumba hakuna ugaidi
USSR
Jiwe alikula tunda kimasiharaMama madini/Mama Kairuki Yuko wapi Siku hizi?kitambo sana.
Zaidi ya mzalendoHamza ni mzalendo?
Allah amjalie kheri mja wake Hamza! Amwepushe na adhabu ya kaburi.Zaidi ya mzalendo
Kwani huoni jina lake ni Kamanda Asiyechoka; tena kaweka nembo ya ufipa kabisa?Nan alikwambia huyo ni kamanda? Maan Lumumba hakunaga makamanda
Inshallah! Huyu Hamza pepo ataipataAllah amjalie kheri mja wake Hamza! Amwepushe na adhabu ya kaburi.
Kamanda kwani,huyo unamtafutia nini,aukwa kuwa ulishiriki ubambikiaji wa mtu,au ulifarijika kwao kwa kuona utaweza kunufaika vipi?Alikuwa mmoja wa viti maalumu waliongia kwa nguvu maalumu bungeni.
Sasa hivi dhahama imeikumba chama chetu. Basi anatakiwa kama kada mwandamizi aonekane mbele ya umma.
Atoe neno maana kama chama tunahitaji faraja.