Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna uhakika yawezakuwa ni ajali ya kawaida,au mossad katika kitengo cha kidon wamefanya yao kwa sababu wanayoijua wao wenyewe.JUST IN: Iranian Air Force IRGC officer killed in a car accident during a mission.
Is the Mossad behind it? I guess we will never know.
View attachment 2258766
Wiki iliyopita mkuu wa kidon alilipuliwa ndan ya iraqHamna uhakika yawezakuwa ni ajali ya kawaida,au mossad katika kitengo cha kidon wamefanya yao kwa sababu wanayoijua wao wenyewe.
Duh,so mkuu wataka kusema this is a revenge au kuna mahusiano ya matukio haya mawili.Wiki iliyopita mkuu wa kidon alilipuliwa ndan ya iraq
Wao waisrael wanacheka kwamba hakuna kitu kama hicho;Wiki iliyopita mkuu wa kidon alilipuliwa ndan ya iraq
Wao waisrael wanakana kwamba hakuna kitu kama hicho;Duh,so mkuu wataka kusema this is a revenge au kuna mahusiano ya matukio haya mawili.
Uhasama wa haya mataifa mawili nimkubwa sana.Wao waisrael wanakana kwamba hakuna kitu kama hicho;
All of Israel is laughing at Iran's ridiculous claim that a Mossad commander by the name of Asa Flots was killed in a drone attack in Erbil, Iraq.
Iran claimed to have killed a mysterious Israeli Mossad commander called "Asa Flots", but we Hebrew speakers quickly realized that the story smelled a little bit funny . . .
Why are we laughing?
In Hebrew, "Asa Flots" means "he farted."
Apparently Iran is the "butt" of this 🤣View attachment 2258854
Why iran aishambulie uturuki?Kumekucha Tena mambo ni motooo🔥🔥🔥. Israel yazuia shambulizi la Iran huko Turkey🤔
![]()
Kama ulishangalia interview za meir dagan,aliyekua mkurugenzi wa mossad. Huyu jamaa ni kichwa sana kwenye mambo ya Ujasusi na aliwahi kusema israeli itakua kwenye hatari kubwa, siku ikijaribu kuishambulia iran kijeshi. Hapa hata mie nilikubaliana nae maana option wanayoitumia ni sana israeli ni assasination. Kwa viongozi na wanasayansi wa irani l, hivyo haya mataifa mawili kuingia vitani directly nivigumu mno. Hapa wanapigana kwa proxy war tu basi na kuendelea kutishiana.Israel imesema kwamba kama dunia haita izuia Iran kupata nuclear weapons basi watafanya preemptive strike katika hizo facilities
Umesoma ukaelewa? Rudia kusoma tenaWhy iran aishambulie uturuki?
Kama ulishangalia interview za meir dagan,aliyekua mkurugenzi wa mossad. Huyu jamaa ni kichwa sana kwenye mambo ya Ujasusi na aliwahi kusema israeli itakua kwenye hatari kubwa, siku ikijaribu kuishambulia iran kijeshi. Hapa hata mie nilikubaliana nae maana option wanayoitumia ni sana israeli ni assasination. Kwa viongozi na wanasayansi wa irani l, hivyo haya mataifa mawili kuingia vitani directly nivigumu mno. Hapa wanapigana kwa proxy war tu basi na kuendelea kutishiana.
Umesoma ukaelewa? Rudia kusoma tena
Kwahyo wew unaakili kuliko aliyekuwa mkurugenzi wa mossad, napia mshauri mkubwa wa Waziri mkuu wa israeli cndio.Mbona marekani baba yake israeli ameweka makambi ya kijeshi kuizunguka iran. Lakin mpaka leo hajaivamia kijeshi, unafikiri wenyewe hawajapima nakuona matokeo mabaya watakayopata. Baada ya kufanya huo uamuzi wao.Kombora moja la nuclear likitua Tehran akili zitakua sawa, Iran mnamkuza tu lakini hana lolote ni mikwara, yule jenerali wao alipogwa bomu na marekani mwishoe wakalipua ndege yao wakindhani ni B52 bomber ya USA
Nilikua cjaipitia,maana iligoma kufunguka mwanzo.Umesoma ukaelewa? Rudia kusoma tena
Haka kalikua bado kachalii tu wamekatanguliza mapema saana kakakabidhiwe mabira zake 72 kaanze kuwapaua mapemaJUST IN: Iranian Air Force IRGC officer killed in a car accident during a mission.
Is the Mossad behind it? I guess we will never know.
View attachment 2258766