Kamanda wa Hezbollah huko Lebanon ya kusini, Mohamed Hussein Ramal auawa kwa shambulizi la ndege za Jeshi la Israel

Ritz na Sir John Roberts naona Adiosamigo anapita huu uzi kama anaaga maiti. Hawatoi maoni yoyote.
Hiyo timu pamoja na bikra kizee FaizaFoxy walikuwa wanashangilia issue ya makombora 180 ambayo yaliua nzi tuu... Wakaanzisha nyuzi humu siku 7 mfululizo bandika bandua... Tuliwaambia sana waandae na nyuzi za kulia Lia ila wakabisha... Hivi wanavyo mchukulia simple IDF wao wanaweza hata kugusa unywele wa Benjamin? Wawe wakweli!
 
Israel itawachinja mpaka abakie kibaka tuu mtaani.
 
Nilimwambia Fauzia Fox ukitaka kuishi kwa raha duniani lazima uwapende wayahudi na marekani ili upate heri na miaka mingi duniani.sasa hivi wanamsiba juu ya msiba mpaka mchozi yawakaukie
 
Mpaka sasa askari wa Hezibollah zaidi ya 1500 wameuwawa, according to IDF.
Hizb ana data zake na nyie mna zenu kwa namna hizbo anapigana kwa kuvizia si rahisi hao 1500, idf ndio rahisi kupelekwa kuzimu kwanza wengi hawashuki kwenye tenki hizbo wana silaha za kufumulia tenki za kirusi hakuna tenki nzima kaskazini kila siku wanaleta nyingine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…