Kamanda wa Hezbollah, Muhammad Naim auawa

Wananchi wanalia njaa Putin anawafunga mahabusi, vita wameichoka
Mkuu , Hawa watu wamechagua vita against maisha ya watu, sikwamba wanapendwa ila ni ukinyanyua mdogo umekwenda na maji.
Kiduku ndio kabisa.
 
Haya ni malipo kwa waislamu hao wengine wataenda kuimba huko ndio malipo ya Mungu wao
Malipo wakati mmeanza kutumalizia kitimoto na pombe kabla hamjaenda huko ahera inakuaje sasa
 
Mkuu , Hawa watu wamechagua vita against maisha ya watu, sikwamba wanapendwa ila ni ukinyanyua mdogo umekwenda na maji.
Kiduku ndio kabisa.
Putin anajuta kuanzisha vita, maana Ukraine ameonyesha uimara mkubwa
 
Vita kwa mrusi ni kama mchezo wa simba na yanga....shida ni kwa wale hadi wanabandika mabango mitaani na matangazo kibao youtube yakuonewa huruma,,,huku vidume hawana hizo
 
Watu wanakufa huko mpaka yule jamaa akataka kumkamata Shoigu wewe unaleta maneno ya mitaani , Urusi ana hali mbaya kila mkwara watu wanaupiga chini
 
Sa inakuaje tuna enjoy kitimoto zaidi mwezi wa ramadhani kuliko mwezi ambao hauna mfungo bwana kobazi..........hao wote makafiri mwisho wa siku wataelewana na watagawana tena waarabu wa kuwatawala
 
Kwahio kitimoto ni tamu sana eeh,,,kule peponi ladha itaongezeka?
Peponi kuna masharti yake kijana hujui kitu, ni vyema ukajipange kumuimba Bwana milele na milele ndio malipo yako
 
Sa inakuaje tuna enjoy kitimoto zaidi mwezi wa ramadhani kuliko mwezi ambao hauna mfungo bwana kobazi..........hao wote makafiri mwisho wa siku wataelewana na watagawana tena waarabu wa kuwatawala
Putin anaweka red line yule Zelensky anapiga sasa hivi anabweka tu kila siku
 
Kwahio kitimoto ni tamu sana eeh,,,kule peponi ladha itaongezeka?
Mwili wa peponi hauna maradhi wala magonjwa ni kuponda rahaaaa tu, acha wivu , andaa koo kamuaimbie Mungu wako ndio pepo yako hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…