Kamanda wa Hezbollah, Muhammad Naim auawa

Dogo acha porojo jamvini.

Yahudi anakuona wewe kama kenge tu.
 
Anasheherekea na nanii zake 72.
 
Kasome vitabu vya dini utazame nani aliye laniwa kati ya Mwarabu na Myahudi
 
Ila kama allah ananguvu mnaombaje mpigwe taf na mla kitimoto Putin na kafiri mwengine mchina?? Si mpambane tu kivyenu maana hao wote ni haram
Allah ana nguvu ndio maana hakuna haja ya kumtoa sijui mwanao kutundikwa, wakati wote ni watu wake watakufa tu, Allah amenyooka kila kitu kipo sawa, wachina , wahindi wote watu wake hao wanapaswa kuambiwa dini, atakae leta mapigano mnapigane nae
 
Sasa kwa wasiokula kitimoto nako anajibiwa nani??? Huko kwa wala kitimoto bwana Putin maombi yake yanajibiwa je huko kwenu pakoje
Kwahiyo Zelensky hajibiwi ? anajibiwa Putin wakati mwaka wa 3 huu anasaidiwa na Iran ambaye ni muislamu , labda kama Iran na N korea ndio Yesu wenyewe
 
Kwahiyo kutukanwa na kutengwa na wayahudi kwako ni baraka? Sasa akili kama hizi si ukichaa huu ahahahaha, Huyo Mungu wako kama anakufundisha huu utumwa wa akili achana nae
 
Kwahiyo Zelensky hajibiwi ? anajibiwa Putin wakati mwaka wa 3 huu anasaidiwa na Iran ambaye ni muislamu , labda kama Iran na N korea ndio Yesu wenyewe
Mwaka wa 3 mtu keshamegwa yeye kamega wapi?? Anasaidiwa kwani anapewa bure,,au akitaitiwa utasikia anaenda kulilia kobazi lilete msaada zaidi tu ataenda kwa makafiri wengine wa UN ila upande wa pili mambo yakiwa magumu wanaanza hadi kuwamaind wasiokula kitimoto na kulialia kwa wala kitimoto wengine wawaonee huruma
 
Allah ana nguvu ndio maana hakuna haja ya kumtoa sijui mwanao kutundikwa, wakati wote ni watu wake watakufa tu, Allah amenyooka kila kitu kipo sawa, wachina , wahindi wote watu wake hao wanapaswa kuambiwa dini, atakae leta mapigano mnapigane nae
Ana nguvu wakati akiwatibua huko makwenu mnakimbilia kwenye nchi ambazo sio za allah,,,,kwahio anachoma kambi yake huku hajui pa kuwapeleka,,,dah huyo mungu ni shida
 
Watu wamechukua Kursk eneo la Urusi, mwaka wa 3 mnaangaika tu hakuna mlichofikia Target, matokeo yake mnapiga magoti kwa Iran muislamu na N korea ambaye hajui hata biblia, N korea mpagani na Iran ndio Yesu wa Putin
 
Ana nguvu wakati akiwatibua huko makwenu mnakimbilia kwenye nchi ambazo sio za allah,,,,kwahio anachoma kambi yake huku hajui pa kuwapeleka,,,dah huyo mungu ni shida
Allah yupo kila sehemu wanaokimbia ni wao ila watu wapo pale na wanaendelea na shughuli zao
 
Bila dini ya muarabu duniani tungekuwa na amani sana, hebu waza Somalia wote dini moja ila mipumbavu inalipuana kila siku.
Yaani shetani alitumia muarabu kubuni hiyo dini, maana hata ukiangalia ni ndio dini changa kati ya zote.
Umenena vyema sana
 
Allah yupo kila sehemu wanaokimbia ni wao ila watu wapo pale na wanaendelea na shughuli zao
Wanaendelea na shughuli zao za kuwaua waabudu allah wenzao ili wakimbilie kwa makafiri
 
Watu wamechukua Kursk eneo la Urusi, mwaka wa 3 mnaangaika tu hakuna mlichofikia Target, matokeo yake mnapiga magoti kwa Iran muislamu na N korea ambaye hajui hata biblia, N korea mpagani na Iran ndio Yesu wa Putin
Wamechukua wapi we ,,hata Idi amin aliingia kagera ila aliingia kutalii tu,,,hao ni watalii hamna hata mwananchi m1 wa urusi wanaemtawala wakati mrusi anatawala eneo kubwa la ukraine pamoja na wananchi wake wanamkubali bwana Putin,,,,,kobazi safari hii mmepigwa kabali mbaya sana,,,,ndo maana na vikosi vyenu huku Africa vimepungua
 
Watu wamechukua Kursk wewe unaleta porojo, Urusi kwasasa anaishi kwa msaada wa Wapagani N korea na kobazi Iran, kwahiyo hakuna cha maana hapo , Putin ameshakuwa tegemezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…