Ausar
JF-Expert Member
- Mar 19, 2021
- 2,369
- 3,800
Sasa hutaki ahadi za mungu wenu,??? Ukiondoka si watampigania wengine tuNguvu zipi? unapambana na adui binadamu mwenzako sio Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hutaki ahadi za mungu wenu,??? Ukiondoka si watampigania wengine tuNguvu zipi? unapambana na adui binadamu mwenzako sio Mungu
Aah uzuri mungu wetu ana asili kama ya wakinga kule mnapoenda kuboost hata kobazi akimtamani anamtoa tu kafaraMungu hampendi mwanae ndio maana akaachwa atundikwe, yaani mwanao unampenda kweli atundikwe kama ndafu? Mungu wetu ni muumbaji hakuna cha kukomboa wote ni viumbe wake ni amesha weka utaratibu ukifanya mema peponi ila ukifanya mabaya motoni, nimeshakwambia anatakiwa kuuwa maadui wengi hawezi kufa kiboya
Wewe mwenye kumbukumbu ndio ungekuja na proof sasa....badala yake wewe ndio unaonekana mzushi.Mkiwa waongo msiwe wasahaulifu watoto wa neta paka.
Juzi mlitujia na habari ya kuuliwa kwa huyu kamanda leo mnakuja na taarifa ileile ya juzi lakin cha ajabu mnabadilisha tukio haya mlisahau kama mlitangaza kifo chake kabla ya hizbollah kuishambulia kambi jana😂😂😂
Mkiishiwa mkubali na sio kujidhalilisha namna hii.
Mungu hawezi komboa binadamu wakati wote mali yake, Mungu wetu ametulia amesha weka utaratibu toka enzi uovu na wema malipo yake ni moto au pepoAah uzuri mungu wetu ana asili kama ya wakinga kule mnapoenda kuboost hata kobazi akimtamani anamtoa tu kafara
Ndio wanapigania , lengo ni kuua maadui wengi zaidi sio kufa kizembeSasa hutaki ahadi za mungu wenu,??? Ukiondoka si watampigania wengine tu
Wanaandamana Tel Aviv kila siku wakitaka serikali ikubali dili mateka waachiwe, halafu wewe unasema haina haja? Yahya anajua thamani yake amekaa nao anawaangalia kama MOVIE haya piga bomu sasa maana huwezi kuwapata hao matekaHakuna haja,,,tunawashukuru tu kwa kuwatuliza al shabab na boko haram huku magetoni
Si uzi tu habari hiyo iko ni tangu tar 11 na hizbollah ilishambulia tar 13 nyie ni wazee wa proper gandaWewe mwenye kumbukumbu ndio ungekuja na proof sasa....badala yake wewe ndio unaonekana mzushi.
Si uweke link ya huo uzi?
Hapa kwel wayahudi wanajichanganya sasa. Hawa wayahud wa JF nao wanashindwa kutumia akil kupembea. Yan wanachuja mbu halaf wana meza ngamiaSi uzi tu habari hiyo iko ni tangu tar 11 na hizbollah ilishambulia tar 13 nyie ni wazee wa proper ganda
View attachment 3125550
Wale wavamizi wa misafara.Ndio vita gani hio
Mtajuana wenyewe msiokula kitimoto,,,,mungu wa wala kitimoto kaambua kuwapambanishaWanaandamana Tel Aviv kila siku wakitaka serikali ikubali dili mateka waachiwe, halafu wewe unasema haina haja? Yahya anajua thamani yake amekaa nao anawaangalia kama MOVIE haya piga bomu sasa maana huwezi kuwapata hao mateka
Kwahio hadi sasa asie kula kitimoto yupi kaua wenzie wengi??Ndio wanapigania , lengo ni kuua maadui wengi zaidi sio kufa kizembe
Sasa wasiokula kitimoto wanaenda wapi???Mungu hawezi komboa binadamu wakati wote mali yake, Mungu wetu ametulia amesha weka utaratibu toka enzi uovu na wema malipo yake ni moto au pepo
Na ndio hao hao wakristo wa kwanza na kueneza ukristo.Hawa watu si ndio walimuua Kristo? Sasa upendo upi wa Kristo unautaka kwa wayahudi hawa?
Waulize wasabato hawali kitimoto watakupa jibuSasa wasiokula kitimoto wanaenda wapi???
Kwani kuna sensa ya wasio kula kitimoto?Kwahio hadi sasa asie kula kitimoto yupi kaua wenzie wengi??
Ongeza hapo hata wasabato hawali kitimotoMtajuana wenyewe msiokula kitimoto,,,,mungu wa wala kitimoto kaambua kuwapambanishaView attachment 3125579
Ukristo mmepewa nyie kule ni Uyahudi kwa kwenda mbele, wao bado wanamsubili Masiha wao sio huyo wa wakristoNa ndio hao hao wakristo wa kwanza na kueneza ukristo.
Upo hapo?
Na wao waje wajiunge hizbollah waongeze kikosi,,,shida wao hawajaahidiwa mito ya pombe na mabikiraOngeza hapo hata wasabato hawali kitimoto
Sasa nyie ndo mpo karibu nao mbona sasa wanawashushia vipondo ndugu zao wa karibu maana hata bagalashia na wao wanavaaUkristo mmepewa nyie kule ni Uyahudi kwa kwenda mbele, wao bado wanamsubili Masiha wao sio huyo wa wakristo
Huko walipo panatosha pia kwa upande wao wasabato , kitabu chao kinawafundisha kuwa kitimoto HARAMUNa wao waje wajiunge hizbollah waongeze kikosi,,,shida wao hawajaahidiwa mito ya pombe na mabikira