Kamanda wa Hezbollah, Muhammad Naim auawa

Kamanda wa Hezbollah, Muhammad Naim auawa

Mungu hampendi mwanae ndio maana akaachwa atundikwe, yaani mwanao unampenda kweli atundikwe kama ndafu? Mungu wetu ni muumbaji hakuna cha kukomboa wote ni viumbe wake ni amesha weka utaratibu ukifanya mema peponi ila ukifanya mabaya motoni, nimeshakwambia anatakiwa kuuwa maadui wengi hawezi kufa kiboya
Aah uzuri mungu wetu ana asili kama ya wakinga kule mnapoenda kuboost hata kobazi akimtamani anamtoa tu kafara
 
Mkiwa waongo msiwe wasahaulifu watoto wa neta paka.

Juzi mlitujia na habari ya kuuliwa kwa huyu kamanda leo mnakuja na taarifa ileile ya juzi lakin cha ajabu mnabadilisha tukio haya mlisahau kama mlitangaza kifo chake kabla ya hizbollah kuishambulia kambi jana😂😂😂

Mkiishiwa mkubali na sio kujidhalilisha namna hii.
Wewe mwenye kumbukumbu ndio ungekuja na proof sasa....badala yake wewe ndio unaonekana mzushi.
Si uweke link ya huo uzi?
 
Aah uzuri mungu wetu ana asili kama ya wakinga kule mnapoenda kuboost hata kobazi akimtamani anamtoa tu kafara
Mungu hawezi komboa binadamu wakati wote mali yake, Mungu wetu ametulia amesha weka utaratibu toka enzi uovu na wema malipo yake ni moto au pepo
 
Hakuna haja,,,tunawashukuru tu kwa kuwatuliza al shabab na boko haram huku magetoni
Wanaandamana Tel Aviv kila siku wakitaka serikali ikubali dili mateka waachiwe, halafu wewe unasema haina haja? Yahya anajua thamani yake amekaa nao anawaangalia kama MOVIE haya piga bomu sasa maana huwezi kuwapata hao mateka
 
Wewe mwenye kumbukumbu ndio ungekuja na proof sasa....badala yake wewe ndio unaonekana mzushi.
Si uweke link ya huo uzi?
Si uzi tu habari hiyo iko ni tangu tar 11 na hizbollah ilishambulia tar 13 nyie ni wazee wa proper ganda
Screenshot_20241014_215209_Opera Mini.jpg
 
Wanaandamana Tel Aviv kila siku wakitaka serikali ikubali dili mateka waachiwe, halafu wewe unasema haina haja? Yahya anajua thamani yake amekaa nao anawaangalia kama MOVIE haya piga bomu sasa maana huwezi kuwapata hao mateka
Mtajuana wenyewe msiokula kitimoto,,,,mungu wa wala kitimoto kaambua kuwapambanisha
Screenshot_20241015-103121_Chrome.jpg
 
Mungu hawezi komboa binadamu wakati wote mali yake, Mungu wetu ametulia amesha weka utaratibu toka enzi uovu na wema malipo yake ni moto au pepo
Sasa wasiokula kitimoto wanaenda wapi???
 
Ukristo mmepewa nyie kule ni Uyahudi kwa kwenda mbele, wao bado wanamsubili Masiha wao sio huyo wa wakristo
Sasa nyie ndo mpo karibu nao mbona sasa wanawashushia vipondo ndugu zao wa karibu maana hata bagalashia na wao wanavaa
 
Na wao waje wajiunge hizbollah waongeze kikosi,,,shida wao hawajaahidiwa mito ya pombe na mabikira
Huko walipo panatosha pia kwa upande wao wasabato , kitabu chao kinawafundisha kuwa kitimoto HARAMU
 
Back
Top Bottom