Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
JamiiForums imemtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Kaster Ngonyani kuhusiana na tukio hilo ambapo amesema "Ndio ni kweli, taarifa za tukio hilo lipo na tayari tumeshaenda eneo la tukio na Mgonjwa sasa hivi yupo Hospitali ya Wilaya ya Mlele eneo Mpigwe Kibaoni
SACP Ngonyani amesema Sativa aliokotwa Usiku wa Kuamkia Juni 27, 2024 Barabarani maeneo ya Pori la Hifadhi ya Taifa ya Katavi (Barabara ya Msimbwe Majimoto inayoelekea Mpanda.
Pia soma: Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
Ameongeza "Mgonjwa ameongea Mwenyewe japo kwa shida amesema alikamatwa na Watu Juni 23 Mbezi kwa Msuguri, kisha akapelekwa Mkoani Arusha katika sehemu ambayo haijui na baadaye kuletwa Katavi ambapo alipigwa na kitu chenye ncha kali ambacho anasema kilitokea mdomoni kisha Wakamtupa kwenye msitu huo na kutoweka
Amesema "Mgonjwa alijikokota kutoka Porini hadi Barabarani ambapo Wasamaria wema walimwona na kumpakia kwenye gari kisha kumpeleka Hospitali. Aliongea kidogo sana kwa sasa haongei. Tunasubiri taarifa ya Daktari kuhusu alichomwa na kitu gani.
====
Pia soma:

- Sativa225 (Edgar Mwakabela) kijana maarufu kwa kukosoa serikali X apatikana, baada ya kutekwa na watu wasiojulikana
- Sativa kutolewa Dar mpaka Arusha kisha kwenda kutupwa Katavi. Inawezekana aliyefanya utekaji huu ndiye aliyepanga shambulio la Lissu?
- SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa
- ACT Wazalendo: Tunataka chunguzi kutekwa, kuteswa na kujeruhiwa kwa Edgar Mwakabela
- Zitto Kabwe: IGP unawezaje kukubali kituo cha polisi kutumika na genge la watekaji?
- Peter Madeleka: Nina uwezo wa kwenda Mahakamani kufungua kesi na kuwajua waliomteka na kumtesa Sativa
- LHRC yalaani Ukatili aliofanyiwa Edgar Mwakalebela (Sativa)
- Wakili Matata: Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Magharibi wako Hospitali ya Rufaa Katavi kufuatilia hali ya Sativa!
- Sativa: Naendelea na matibabu siwezi hata kufungua mdomo, yakimalizika nitatoa ushirikiano wanaotaka
- Waziri wa Mambo ya Ndani: Tukio la anayesemekana alitekwa (SATIVA) uchunguzi unaendelea
- Zembwela ataka Sativa aachwe apumzike Ili aje atoe Maelezo baadae, ashangaa alipajuaje Oysterbay na Karakana Wakati Mateka hufungwa kitambaa Usoni!
- Alichosimulia Edgar Mwakabela "Sativa" kuhusu waliomteka na kumpiga Risasi ya Kichwa
- Mbowe: Sativa alitupwa pembeni ya Mto wenye Mamba na Viboko Ili aliwe. Niliongea na Rais Samia tusirudi zama za Magufuli zama za giza!
- TAARIFA; Matibabu ya Edgar Mwakabela (SATIVA)
- Rais Samia kugharamia matibabu ya Sativa hadi apone, aagiza uchunguzi wa tukio hilo
- DC Ubungo akwepa kujibu swali la utekaji wa Sativa, asema “No Comment”
- Masauni: Sativa hatoi ushirikiano wa kutosha kwa Jeshi la Polisi
- Sativa: Nilitekwa na Jeshi la Polisi wakiwa na lengo la kuniua, hata nikipotea kesho Jeshi la Polisi litakuwa limehusika
- Boniface Jacob: Rais Samia tunaomba Afande Mafwele anayetuhumiwa kumteka Sativa achunguzwe
- Sativa aeleza kwa kina tukio la Kutekwa Dar: Kasi, vitisho na safari hadi Arusha
- Sativa: Hii ndio CT Scan ya kichwa changu Iliyopigwa pale Aga khan mida ya mid-night
- Mpya kutoka kwa Sativa: Mafwele ameendelea kunitafuta, anataka nife, amedai bado hajamalizana na mimi
- Kamanda Muliro adai Sativa alisema mwenyewe kuwa alitekwa na washkaji
- Kamanda Muliro: Ndio maana sitaki kubishana, Jeshi la Polisi ndio lilimuokoa Sativa kule Katavi!
- Kamanda Muliro kajichanganya kuhusu sakata la Sativa kwenye Kongamano la TLS?
- Sativa alipia matangazo Instagram kuanika uchafu wa Jeshi la Polisi
- SATIVA: Mbeya Mjini Haina Faida kuwa na Mbunge Ambaye ni Spika
- Stori ya jinsi Sativa alivyotekwa yatua kwenye gazeti la The Guardian la Uingereza
- Edgar Mwakabela (Sativa) alipia fedha za fomu ya Tundu Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA