denoo JG
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 2,701
- 9,759
Hapa ndio tujifunze, wasiojulikana ni idara inayoishi, siku zote wapo kazini bila kujali nani yupo madarakani.
Hata kwa mama yenu chura kiziwi nae wanamtumikia, na serikali yake inawalipa mishahara.
Ndio maana haya matukio yanaendelea kutokea kila siku, polisi wako kimya hawafanyi uchunguzi wowote zaidi ya kutoa taarifa fupi zisizotibu tatizo.
Ukweli ni kwamba, bado usalama wa mtanganyika upo shakani, wala tusidanganyane na zile 4R za maigizo.