Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Naamini Mungu amempa nafasi nyingine ili asirudie hata matusiKutekateka watu eti kwasababu wanakosoa huo ni ushamba tu na uoga.
Wanaofanya hayo matukio na wanaowatuma wajue tu wamelaaniwa wao na uzao wao, madhara wanaweza wasiyaone kwao lakini watoto wao wanaowapenda na kuwasomesha kwa gharama na vipato vinavyotokana na huo ujinga wao watakuja kuishi maisha magumu ajabu pamoja na Mali wanazowaachia.