Kamanda wa Polisi Katavi: Edgar Mwakabela (Sativa255) anasema alichukuliwa Dar hadi Arusha na kisha kutupwa Katavi

Bashite akaona wakamtupe mbali Katavi ili asijulikane ni yeye aliesimamia show mzima
Kwamba BASHITE ndio mtetezi wa Samia au Bashite n nani yani hapa Tz hadi afikie hatua ya kupambana na mtu ambaye wala hayupo mkoani kwake who is Bashite, Mwanaharakati hauoni una kichwa kibovu!?

Kwann sio CCM ,kwann sio Chura Kiziwi, why not Chalamila, Why Bashite, Totally hatred.
 
Hapa anaewindwa ni Makonda na iko wazi kuna watu wamenusa sasa wanajipanga
 
4R HIZO!!
 
 
Whether you like it or not the boy was incorrigible. He deserved the corporal punishment delivered to him accordingly
 
Kwa hiyo mtu akitukana basi adhabu yake no kutekwa? Mahakama zipo kwa ajili ya kazi gani?
Kuna watu hawafundishiki hata na Mahakama. Angelipa faini labda Tsh 500,000 baada ya hapo anaendelea na matusi.

Tujipe muda tuone kama atarudia matusi yale ndiyo turudi kwenye mada hii
 
Whether you like it or not the boy was incorrigible. He deserved the corporal punishment delivered to him accordingly
This is where your problem lies. It’s not about 'what I want' or 'what you want.' It’s a matter of 'what the law requires.' A country is not governed by the whims of individuals but by the mandates of the constitution and the law. You members of the CCM party think that the desires of individuals govern the country. That is why you resort to abduction and killing simply because someone wants it. Try using your medulla oblongata and not your emotions. It deeply saddens me to know that in this century, there are still people who fail to understand the role of law and the constitution in a country.
 
Whether you like it or not the boy was incorrigible. He deserved the corporal punishment delivered to him accordingly
Sikuwahi kudhani waweza kuwa mpuuzi kiasi hicho. Huyo jamaa wamemtesa na kuamua kumuua kisha kumtupa pori lenye mafisi wamle na ushahidi upotee! Hakufa maana Mungu hajakubali huo unyama.
Sasa wewe na akili zako (nilizokuwa nadhani ni timamu) unakuja kutuambia anastahili? Brother, sijui sister ngoja nikuambie. Hakuna kosa lisilokuwa na adhabu yake kisheria, kutesa na kuua ni maamuzi ya watu WAOGA walio na madaraka. Na kama wako sawa wajitokeze hadharani na kusema sisi ndio tumemteka Sativa na kujaribu kumuua ili tuwapongeze.
Next time use your brain before write your opinions
 
Ukiwa na akili timamu sawa sawa kabisa lazima utakubaliana nami kwamba kuishi Afrika ni mateso makubwa na tena ni mzigo mkubwa sana, hii ni kutokana na sababu ya namna Watawala katika nchi zetu hizi jinsi wanavyofikiri akilini mwao kuhusu namna ya kuendesha nchi na wananchi wake.
 
Kweli kabisa mkuu.
 
Tundu Lissu alivyomiminwa risasi alikua jiji la Dar es salaam?
 
The only measure to see which one is an effective correctional method between the court ruling and punishment by his abductors will be his conduct after this trauma.

Let's give it time and observe
 
Tanzania tajiri kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…