TANZIA Kamanda wa Polisi Mstaafu na MwanaCCM mkongwe Zelothe Stephen afariki dunia

TANZIA Kamanda wa Polisi Mstaafu na MwanaCCM mkongwe Zelothe Stephen afariki dunia

Ila hizi nchi za daraja la Chini shida sana yaani, hivi inawezekanaje mtu anakuwa na cheo kikubwa sana katika jeshi la polisi au JWTZ alafu akistaafu tu mwezi huo huo anapata cheo kikubwa ndani ya ccm na ilhali kila siku tunaambiwa hawa wa majeshi hawatakiwi kuwa affiliated na vyama vya siasa?

Inawezekanaje baada ya kustaafu ndio anajiunga na ccm? Na kama sio hivyo maana yake tangu akiwa jeshini alikuwa mwanachama mtiifu wa ccm, sasa huyu unamtegemea vipi kuwa neutral kwenye maamuzi yake wakati akiwa jeshini?
Upumbavu huu unafanyika Tanzania tu.
 
View attachment 2793949
Kwa mujibu wa taarifa ilitolewa na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa, kada huyo wa Chama Tawala amefariki wakati akiwa Hospitali akiendelea na Matibabu.

Nafasi ambazo amewahi kutumikia ni pamoja Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Kamanda wa Polisi mikoa mbalimbali ikiwemo Dodoma.

Pia, amewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha

Pole kwa familia na wote walioguswa na msiba huu
Lala salama Kamanda wa Polisi Mstaafu
 
Back
Top Bottom