Kamari imeharibu kila kitu kwenye maisha yangu

Baba wa mbingu

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2022
Posts
286
Reaction score
749
Kwanza nitangulize salamu zangu kwa wanajamvi wote humu ndani, Tumsifu yesu kristo, Asaalam Aleykum.
Mimi ni kijana wa miaka 26 (me) elimu yangu ya juu ni degree ya tourim managment niliyoipata SUA miaka 2 iliyopita.

Kiufupi Mimi ni muumin mzuri wa biashara hivyo basi baada ya kuhitimu elimu yangu pale SUA mwaka 2022 nilikuwa nmefankiwa kukusanya kiasi fulani cha fedha kwa ajili ya kufanya biashara na kweli nilirudi mkoani kwangu na kufungua biashara ya kuuza vyombo vya ndani katika soko la kilombero, Hivyo kwangu cheti hakikua na maana yoyote ile kwani nia yangu ilikuwa niwe mfanya biashara mkubwa tuu hivyo cheti cha form six na chuo vyote sikuchukua kwani sikua na mpango ata theluthi moja wa kuajiriwa.

Hivyo basi ubongo na akili niliviboost kimapacha ili nikue kibiashara na kweli mambo yalikuwa poa, huku classmate wangu wengne wakitafta ajira. Mpaka kufika mwaka jana mwezi wa 8(august) nikuwa na kiasi cha 4 million.

Basi bhana kuna siku classmate wangu mmoja alniomba tukutane mtaa flani iv na me nkaenda kweli kumskilza ila kwa bahati mbaya alkua kwenye nyumba ya michezo ya bahati na sibu bas bhana tukapiga story na nkamuomba anielekeze namna ya kubeti alooooo hapo ndo nilipo jiloga mwenyewe kwani kwa siku ile nilkula kama elfu 78 kwa dau la 2500 nkasema mbona pesa apa ni chap chap.

WAKUU kuanzia hapo nilkuwa mkamaria mzuri yaan mpaka kuna time nlikua naacha ofisi yenyewe naenda kupambana na betting niwe mkweli betting imeniharibu vibaya mnoo na kunifilisi kila kitu nlichokuwa nacho apa nlipo sina simu wala ata senti moja.

BETTING imeharibu si tu uchumi wangu ata mahusiano na jamii,ndugu,pamoja na marafiki kwan uaminifu tena na mimi hawana PILI betting imenipotezea hisia za mapenzi, hofu ya mungu pamoja na ladha ya chakula kiufupi tyuu saiv akili na ubongo kila kukicha ni kuwaza betting na nimekuwa nikishinda kwenye nyumba za betting kuanzia asubuhi ad wanafunga yaani kula yangu yenyewe ad nipige ukware nikipata buku nile jero na jero nibaahatishe bahati yangu lakini nmeambulia kuwa mtu wa kujilaumu ad kna mda natamani tyuu bora nife coz I am great loser en dis is painful to me always en am lose hope,light en love.

NOW tumain pekee la kwa nini niishi ni namhurumia mwanangu pamoja na mam yake vip wataishi? ni heri nichechemee hivi hivi huku nikifurahia tabasamu la kachanga kangu though sijui now ako na two month nlichomudu kumnunulia ni kofia mbili tyuuu that too bad to how dis aibu inantafuna.
 
Kitendo cha kutambua kua betting imekuharibia maisha ni ishara ya kujitambua na kutambua kosa lako,

Bado hujachelewa na umri wako bado unaruhusu,toka huko kwenye betting uanze upya,

Kufanya kosa sio kosa bali kurudia kosa ndio kosa.
ndugu mwaka huu mwanzoni nliamua kuikimbia lkn uez amini mwez wa 5 nlirudi kwa kasi ya ajabu na imeshanilevya nawish niiende cjui pori gani nkakae kwa muda at wa mwaka ili niitibu kwanza akili na kuieka swa
 
Kwanza nitangulize salamu zangu kwa wanajamvi wote humu ndani, Tumsifu yesu kristo, Asaalam Aleykum.
Mimi ni kijana wa miaka 26 (me) elimu yangu ya juu ni degree ya tourim managment niliyoipata SUA miaka 2 iliyopita.

Kiufupi Mimi ni muumin mzuri wa biashara hivyo basi baada ya kuhitimu elimu yangu pale SUA mwaka 2022 nilikuwa nmefankiwa kukusanya kiasi fulani cha fedha kwa ajili ya kufanya biashara na kweli nilirudi mkoani kwangu na kufungua biashara ya kuuza vyombo vya ndani katika soko la kilombero, Hivyo kwangu cheti hakikua na maana yoyote ile kwani nia yangu ilikuwa niwe mfanya biashara mkubwa tuu hivyo cheti cha form six na chuo vyote sikuchukua kwani sikua na mpango ata theluthi moja wa kuajiriwa.

Hivyo basi ubongo na akili niliviboost kimapacha ili nikue kibiashara na kweli mambo yalikuwa poa, huku classmate wangu wengne wakitafta ajira. Mpaka kufika mwaka jana mwezi wa 8(august) nikuwa na kiasi cha 4 million.

Basi bhana kuna siku classmate wangu mmoja alniomba tukutane mtaa flani iv na me nkaenda kweli kumskilza ila kwa bahati mbaya alkua kwenye nyumba ya michezo ya bahati na sibu bas bhana tukapiga story na nkamuomba anielekeze namna ya kubeti alooooo hapo ndo nilipo jiloga mwenyewe kwani kwa siku ile nilkula kama elfu 78 kwa dau la 2500 nkasema mbona pesa apa ni chap chap.

WAKUU kuanzia hapo nilkuwa mkamaria mzuri yaan mpaka kuna time nlikua naacha ofisi yenyewe naenda kupambana na betting niwe mkweli betting imeniharibu vibaya mnoo na kunifilisi kila kitu nlichokuwa nacho apa nlipo sina simu wala ata senti moja.

BETTING imeharibu si tu uchumi wangu ata mahusiano na jamii,ndugu,pamoja na marafiki kwan uaminifu tena na mimi hawana PILI betting imenipotezea hisia za mapenzi, hofu ya mungu pamoja na ladha ya chakula kiufupi tyuu saiv akili na ubongo kila kukicha ni kuwaza betting na nimekuwa nikishinda kwenye nyumba za betting kuanzia asubuhi ad wanafunga yaani kula yangu yenyewe ad nipige ukware nikipata buku nile jero na jero nibaahatishe bahati yangu lakini nmeambulia kuwa mtu wa kujilaumu ad kna mda natamani tyuu bora nife coz I am great loser en dis is painful to me always en am lose hope,light en love.

NOW tumain pekee la kwa nini niishi ni namhurumia mwanangu pamoja na mam yake vip wataishi? ni heri nichechemee hivi hivi huku nikifurahia tabasamu la kachanga kangu though sijui now ako na two month nlichomudu kumnunulia ni kofia mbili tyuuu that too bad to how dis fucking aibu inantafuna.
Akili ndiyo inatakiwa kuongoza mambo yote...tatizo lako wewe kamari imefanikiwa kuongonza akili zako ni kama pombe ...inatakiwa unapokuwa mnywaji wa pombe akili ndiyo iongoze siyo pombe kuongoza akili
 
Nilikua nataka nione tu baada ya biashara unayosema uliachana na ajira umeingiza sh ngapi kwa miaka yote hiyo nimechoka nilipoiona milion 4 😄! Wenzio hyo ni posho tu ya mwezi bado misheard mishe! Pole sana.
 
Pole kijana Mimi pia ni muhanga na hii kitu , ila naeza SEMA angalau Hela nliyoliwa sio pesa yangu ya jasho wala ya wazazi Bali ni pesa ya bumu tu ya matumizi binafsi chuoni mana wengine wanahonga wengine wanailia Bata wengine wanapenda kupendeza ko mwendo wa nguo na viatu ila mm nliiweka kwny betting Kwa kuweka odds 2 natia laki . Katika betting unaweza ona kitu ni uhakika mfano yanga anacheza na majimaji watu wanaekaga ata milion ili wapate laki Kwa vile wanaona yanga anashinda uhakika , ila mipira haitabiriki ndo nlichojifunza ndomana odd 1.01 inachana fresh tu,NB hakuna option kwny kubeti Ina asilimia 💯 kutiki bali inaeza kua na 99%, kama option sio asilimia 💯 uwezekano wa tukio kutokea basi jua pesa Yako IPO hatarini kupotea Yani umeiwekea rehani haijalishi chochote na hakuna tukio lenye uwezekano wa 100% kwny mpira au mchezo wowote ko ni ubahatishaji tu usidanganywe na odds Wala ukubwa wa timu
 
Embu wacha kuandika "tyu" kama cocastic. Wewe ni wa kiume.
On a serious note, kuacha kamari ni kujikana. Na huez amini, ukifanikiwa ndani ya mwez mmoja kutocheza kamari tayari uko kwenye njia njema.
Hapa ushauri utapewa mwingiii lakn mimi hua nasema, ushauri si kitu, kitu n mtu mwenyewe kufanya maamuz magumu na kuyasimamia.
Apart from that eulogy yako will be short and clear. "Marehem alizaliwa, akasoma, akazurura, akabeti akakufa"
 
Betting inabidi ujifunze ukiwa huna hela nyingi ili unapofanya majaribio ya kujitoa muhanga kwa timu zenye matokeo ya kushangaza usipigwe pakubwa.

Pia utajifunza tabia mbalimbali za matokeo ya ajabu ya betting kama pale unaomba over 1.5, dakika ya 2 tu linaingia goli la 1, na FT goli linabaki hilo hilo.
Au dakika ya 89 timu uliyoipa ushindi inaongoza 2:0.
Unaenda jikoni kuagiza mguu mzima wa kuku, unarudi mezani unakuta matokeo ni 2:2.

Hii itakuponya magonjwa ya moyo, yaani unakuwa moyo wenye uwezo mzito wa kuhimili mashambulizi ya kila aina.
Ndio maana mtu anayebeti huwa haumizwi na mapenzi, anaona hakuna jipya anacheka tu.
 
tourim managment
tourim=tourism
managment=management

😀 😀 😀 😀 thanks a lot
Nilikua nataka nione tu baada ya biashara unayosema uliachana na ajira umeingiza sh ngapi kwa miaka yote hiyo nimechoka nilipoiona milion 4 😄! Wenzio hyo ni posho tu ya mwezi bado misheard mishe! Pole sana.
ndugu kumbuka iyo ilikuwa ni profit tyuu na biashara ilikuwa na mambo mengne yaliendelea
 
ndugu mwaka huu mwanzoni nliamua kuikimbia lkn uez amini mwez wa 5 nlirudi kwa kasi ya ajabu na imeshanilevya nawish niiende cjui pori gani nkakae kwa muda at wa mwaka ili niitibu kwanza akili na kuieka swa
Unaweza ku quit, first remove vitu vinvyopelekea wewe kubet, smartphones, magroup, social media, for 6 month utakuja nishukuru
 
Back
Top Bottom