Kamari yatafuna Taifa kimya kimya, Serikali ilizazame hili kwa makini

Kamari imenirudisha nyuma sana imenisabishia madeni Kila Kona.
Nimepoteza marafiki.
Mungu ingilia kati Kwa uwezo wangu nimefeli.
Pole ndugu,

Serikali imechangia hili Kwa kupunguza udhibiti katika biashara hii haramu,

Mrudie MUNGU, ulipe ZAKA Badala ya betting, MUNGU atarudisha vyote vilivyopotea.

Ubarikiwe 🙏
 
Betting ni ugonjwa ambao unahitaji matibabu ''Process'' ili kupona ugonjwa huo.

Maisha ya sasa yenyewe ni kama betting Tu

So inategemea unabet kwenye mpira au kwenye Maisha

Mtu kasoma udactari miaka 6 anakosa kazi anaenda kuwa dereva wa malori hiyo kama sio betting ya Maisha ni nini?

Sasa hivi % kubwa ya bodaboda ni graduate wa vyuo vikuu
 
Pole ndugu,

Serikali imechangia hili Kwa kupunguza ushibiti katika biashara hii haramu,

Mrudie MUNGU, ulipe ZAKA Badala ya betting, MUNGU atarudisha vyote vilivyopotea.

Ubarikiwe 🙏
Kamari ni ushetani.
Napambana kushinda huu uraibu
 
MGULU HADA DAIFA LINABET KWA KUDENGENEJA MIUDOBINU VEKI
 
UNAONGOLEA SERIKALI GANI?
 
KAMARI IINGIZWE KWENYE ILANI YA CCM YA 2025/2030 ILI VIJANA WENGI WAHAMASISHWE KUCHEZA na CCM IKUSANYE KODI ZA KUTOSHA
 
Kamari zenyewe ni za Mwigulu unategemea nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…