Kamari yatafuna Taifa kimya kimya, Serikali ilizazame hili kwa makini

Namna sahihi ya kumsaidia Mtu aliyezoea kubet kwanza ni kumsaidia apate shughul nzuri itayompa kipato cha uhakika na itakayomkeep busy pia wapandishiwe Kodi mfano kama kashinda 10000 serikali ichukue 4500
 
Inamiwani ya mbao voice from hayati MH DEO FILIKUNJOMBE RIP
 
Hakuna mtu anaweza kujenga maisha yake kwa kubeti. Kamari iko kumnufaisha mchezeshaji na kumfilisi mchezaji. Ndivyo ilikua tangu mwanzo na itabakia hivyo milele. Wachezeshaji watakutia moyo na kukuhadithia watu waliyofanikiwa kwa kucheza kamari. Watawaweka bandia kukoonyesha na kuwasikia hadi BBC ili kukutia moyo kucheza kamari ila mwisho utafilisika na hela zako kuhamia kwa mchezeshaji wa kamari. Kuna matajiri wanacheza kamari kama kujifurahisha au wana ughaibu kutoka vyanzo vya mapatp mengine. Wewe bodaboada kinyozi mlala hoi usicheze kamari utaangamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…