Kamata kamata haiwezi kuwa Suluhu. Mzee Kikwete asikilizwe

Kamata kamata haiwezi kuwa Suluhu. Mzee Kikwete asikilizwe

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Ama kweli dunia inakwenda kasi sana.

Kwamba Dkt. Slaa, balozi wa Hayati Magufuli leo yuko korokoloni tena chini ya awamu ya 6?

Ikumbukwe hata kina Mbowe hayakuwakuta ya kuwakuta kwenye awamu ile.



Kwa hakika Mh. Kikwette, hata asipoyasemea kwa mara nyingine tena.

Chonde chonde enyi mlioko madarakani:

Kikwette na asikilizwe!
 
Back
Top Bottom