Kamata kamata haiwezi kuwa Suluhu. Mzee Kikwete asikilizwe

Kamata kamata haiwezi kuwa Suluhu. Mzee Kikwete asikilizwe

1. Hatutaki migogoro kutatuliwa nje ya nchi ilhali HGA zinatumia SHERIA zandani!!

Mbona hutaki kuelewa?
Hakuna cha kuelewa hapo. Hutaki sheria za Kimataifam jitwe Umoja wa Mataifa.

Hakuna kitu kama hicho duniani, hakuna mwekezaji wa nje atakaekuja kuwekeza mabilioni halafu wewe uwe mchezaji na wewe uwe mwamuzi. Sahau hilo.

Wewe weka sheria zako mpaka upindukie, lakini mradi una mikataba ya Kimataifa, haitofatwa yako itafatwa ya uwekezaji wa Kimataifa. Kumbuka hilo.

Ngoja nikupe mfano hai, Tanzania sheria za ardhi si zetu wenyewe? Tazama kesi hii tunashitakiwa na mwekezaji wa nje Kimataifa, alikuja kuwekeza kwenye ardhi, tena kawekeza Zanzibar, kwa sheria zetu:
  • Subject of Dispute:
    Real estate project
  • Economic Sector:
    Tourism
  • Instrument(s) Invoked: (i)
    BIT United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland - Tanzania 1994, BIT Mauritius - Tanzania 2009
  • Applicable Rules:
    ICSID Convention - Arbitration Rules
  • (a) Original Proceeding​

    • Claimant(s)/Nationality(ies): (i)
      Brian Malcolm Thomson (British), Pennyroyal Limited (Mauritian)
    • Respondent(s):
      United Republic of Tanzania (Tanzanian)
    • Date Registered:
      July 20, 2023
    • Party Representatives​

    • Claimant(s):
      Steptoe & Johnson, London, U.K., and Washington, D.C., U.S.A.
    • Respondent(s):
      Office of the Solicitor General, Dar es Salaam, United Republic of Tanzania
    • Status of Proceeding:
      Pending
    • Latest Development:
      July 20, 2023 -
      The Acting Secretary-General registers a request for the institution of arbitration proceedings.
Sasa jiulize, sheria za Ardhi za Zanzibar ndiyo za bara> Jiulize mkataba wa Zanzibar ndiyo wako wa bara. Lakini mradi Kimataifa inajulikana Tanzania, shipa ni lako, na kama hawajalipwa hawa, inashikwa ndege au mali ya Tanzania, siyo ya Zanzibar.

Usicheze na biashara za Kimataifa hata siku moja.
 
Hakuna kitu kama hicho duniani, hakuna mwekezaji wa nje atakaekuja kuwekeza mabilioni halafu wewe uwe mchezaji na wewe uwe mwamuzi. Sahau hilo
Hicho ndicho Watanganyika hatutaki na hatutabadilika ktk Hilo.

Mbona madini wamefuata SHERIA zetu?

Boss ndo hutoa uamuzi wa mwisho Si Mwajiriwa.

Boss ni Wananchi, Viongozi ni WAAJIRIWA.
 
TLS wametoa list ya vifungu vingi ambavyo havina maslahi kwetu ktk mkataba ule, katafute uchambuzi wao wa kisomi sana utaona.
Hilo lisikusumbuwe, kuna kifungu kimoja, cha Kimataifa, kinakulinda wewe na wao.

TLS ni wanasheria, labda huwaelewi wanasheria, nikufahamishe kitu; mawakili na wanassheria, ni kama waganga wa kienyeji, kila mmoja anajiona yeye ni zaidi na hautokwenda kwa mmoja akakwambia huyu kapayia 100%. Hilo sahau.

IGA na concession agreements zote, hata hiyo HGA mradi unaingia na kmapuni za Kimataifa ni lazima itafatwa sheria ya Kimataifa. Unafahamu HGA ni mkataba upi? Unakuwa na vifungu vipi muhimu?
 
Hicho ndicho Watanganyika hatutaki na hatutabadilika ktk Hilo.

Mbona madini wamefuata SHERIA zetu...
Hapo hauna ujanja, labda ujindiwe Umoja wa mataifa. Halafu kuna Mawili yatayokukumba, moja hutapata wawekezaji wa Kimataifa au mbili, wanakuja kuchukuwa mali kibabe kama walivyofanya Libta na Iraq na kwengine kwingi tu.
 
Mama anajiharibia mwenyewe. Kwanini analazimisha DP WORLD wapewe hiyo bandari kwa masharti mabovu?

Kwanini anasingizia wanaopinga kuwa ni wahaini?
Hili ni doa ambalo litamzima 2025 na kujitutumua kwake tutashuhudia mabaya zaidi ya yaliyoandaliwa uchaguzi mkuu uliopita 2020. Kuna watu wamempa ushauri kwamba amekuwa mpole sana so akaze " kukaza kwenyewe kumepitiliza"
 
Nyinyi wakristo na waislamu mbona mnatuharibia nchi. Tunapokuwa tunajadili maswala ya nchi mnaleta upumbavu wenu wa madini yenu ya kikoloni hii nchi sio ya wakristo wala waislamu, hii nchi ni ya watanzania hili taifa la kipagani ndiyo maana katiba ikasema wazi nchi haina dini. Uduni pelekeni makanisani au misikitini mnaikingia mijizi isijadiliwe kwa kivuli cha uislamu au ukristo, jizi, jizi tu linaweza kuwa likiristo au lislamu kwahiyo msitutoe kwenye reli na propaganda zenu za dini.
 
Samia hatakiwi kuendelea kukaza shingo kwenye hili la bandari, tunapoelekea hata kama watakamata watanganyika wote wanaopinga ule mkataba haramu, sasa naamini mawe yatasema, kwasababu nikiangalia, hata wale waliokuwa kimya mwanzo kupinga ule uhuni, sasa nao wameanza kusema, Samia kazi kwake.
# Free mwabukusi at el
 
Kikwete hapo anapiga porojo tu, hakuna Raisa Tanzania ambae hajakamata kamata au kwa ukweli au kwa kuifata intelijensia tu/ Mmesahau Ma Sheikh wa Uamsho?

Tena huyo saa nyingine alikuwa anafinya kijeshi tu. Mmemsahau Ulimboka?
Karma !
 
Tanzania ina laana fulani hivi mbaya:
1. Mkapa aliwekwa na Nyerere lakini hakumsikiliza na akamgeuka vibaya.
2. Magufuli aliwekwa madarakani kwa msaada wa Mkapa lakini hakumsikiliza Mkapa akamgeuka.
3. Samia aliwekwa madarakani kwa msaada wa Jakaya lakini naye naona yuko mbioni kumgeuka.

NB: Swali la muhimu ni hili: Samia ataweza kweli kumgeuka Jakaya mtoto wa Mjini kirahisi tu?
Nguvu ya mamba kumayi mzee !! Akiwa nje ya maji hamuna kitu !!
 
Kwamba kuna kiunganishi cha damu?

Utegemee nini hapo?

1689438761802.png


Cc: Jimama
 
Back
Top Bottom