City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
[emoji16][emoji16][emoji16]Pia ulisema wanaopinga mkataba wa Bandari ni wakristo, Mzee huyo dini Gani, Kinana dini Gani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16]Pia ulisema wanaopinga mkataba wa Bandari ni wakristo, Mzee huyo dini Gani, Kinana dini Gani!
Nimeiona. Waliokamatwa kwa uhaini walikuwa ni babu Duni.
Wewe ulidhani sijui? Hapa hujatumia ID fiche, hivyo nakuona na nakutambua na hilo halitaki tochi.
Uzoefu sio lazima wa kidijitali, hata huo wa analog ni uzoefu na ndo ulotupeleka hapa kwenye dijitali.
Ni kweli hesabu ya moja na moja ni mbili kianalogi lkn onaweza kuwa tatu au nne. Hii huijui na dijitali yako? Waswahili husema ukimnyooshea mwenzio kidole kimoja, vitatu vinaelekea kwako. Na hili nalo unapaswa kulijua.
Tunazungumzia JF na sio mahala pingine.
Hili la CCM tunasema sote.
Kwetu ni mchanganyiko wa zambarau na CCM. Si izi nchi ni tofauti?
Sawa mkuu wacha tufe kshujaa. Usiache kujiunga.Kiuhalisia ni heri kufa shujaa kuliko kuishi kama mtumwa katika nchi yako.
Mkuu hizi ni za JMT.Hatuna tatizo kuhukumiwa Kwa mujibu wa sheria tulizo muafaka nazo. Siyo hizi za ma CCM.
Ni sawa mkuu. Usiache kujiunga ili tukuone badala kuwa msemaji tu.Kuchukuliwa hatua kutokana na kuwapo kwa sheria batili huwafanya watu kuwa mashujaa. Huku si ndiko walikopatikana kina Mandela?
Kiuhalisia ni heri kufa shujaa kuliko kuishi kama mtumwa katika nchi yako.
Hizi ni sheria za Tanzania na sio za CCM.Hatuna tatizo kuhukumiwa Kwa mujibu wa sheria tulizo muafaka nazo. Siyo hizi za ma CCM.
Sawa na hayo ni moni yangu mimi.SI Sasa maana hakuna ulipobadilika msimamo wangu. Kwamba tunapiga hatua hIyo ni dalili njema kuwa tunasonga mbele
polepole, tutafika.
Ni sawa mimi nangojea huo utendaji.Tumedhamiria kweli kweli na bi mkubwa analijua hilo.
Hili nimelipata na nimekwambia kwamba ni habari njema kwako.Bila shaka unayo habari kuwa dhamana zinatoka? Vipi unao mpango wa kumwuliza bi mkubwa, kulikoni?
Mapinduzi gani ya kimchongo hayo? Kaulize wanaume wa Niger wakwambie mapinduzi ni kitu gani .. au ECOWAS wanasema je kuhusu mapinduzi?
Hili nilihalisema jana kwenye ule mjadala.Bila shaka utakuwa umetambua wenye kumbukumbu siyo wewe au ninyi peke yenu na kuwa,chelea mbambikiza kesi hana dini huyo ndugu.