Kamata kamata haiwezi kuwa Suluhu. Mzee Kikwete asikilizwe

Kamata kamata haiwezi kuwa Suluhu. Mzee Kikwete asikilizwe

Samia hatakiwi kuendelea kukaza shingo kwenye hili la bandari, tunapoelekea hata kama watakamata watanganyika wote wanaopinga ule mkataba haramu, sasa naamini mawe yatasema, kwasababu nikiangalia, hata wale waliokuwa kimya mwanzo kupinga ule uhuni, sasa nao wameanza kusema, Samia kazi kwake.
 
Tanzania ina laana fulani hivi mbaya:
1. Mkapa aliwekwa na Nyerere lakini hakumsikiliza na akamgeuka vibaya.
2. Magufuli aliwekwa madarakani kwa msaada wa Mkapa lakini hakumsikiliza Mkapa akamgeuka.
3. Samia aliwekwa madarakani kwa msaada wa Jakaya lakini naye naona yuko mbioni kumgeuka.

NB: Swali la muhimu ni hili: Samia ataweza kweli kumgeuka Jakaya mtoto wa Mjini kirahisi tu?
 
Kikwete hapo anapiga porojo tu, hakuna Raisa Tanzania ambae hajakamata kamata au kwa ukweli au kwa kuifata intelijensia tu/ Mmesahau Ma Sheikh wa Uamsho?

Tena huyo saa nyingine alikuwa anafinya kijeshi tu. Mmemsahau Ulimboka?
Hujasikia akisema mkubwa ukikosea unarekebisha Si kushupaa?
 
Kikwete hapo anapiga porojo tu, hakuna Raisa Tanzania ambae hajakamata kamata au kwa ukweli au kwa kuifata intelijensia tu/ Mmesahau Ma Sheikh wa Uamsho?

Tena huyo saa nyingine alikuwa anafinya kijeshi tu. Mmemsahau Ulimboka?
Pia ulisema wanaopinga mkataba wa Bandari ni wakristo, Mzee huyo dini Gani, Kinana dini Gani!
 
Pia ulisema wanaopinga mkataba wa Bandari ni wakristo, Mzee huyo dini Gani, Kinana dini Gani!
Hao ni fikra zako zinakutuma, sijawasikia wala kuwaona walipoupinga mkataba. Tuoneshe wapi?

Wewe ni Muislam?
 
Wote hao wazee wamesema vifungu vyenye utata virekebishwe!!

Mimi ni Mtanzania, dini yangu haikusaidii chochote!!!
Kijana, hilo limeshatolewa ufafanuzi na kila mtu.

Hakuna kifungu chenye utata na HGA na concession agreements ndiyo zenye ukomo. Zenye kuonesha kapewa nini akifanyie kazi, kwa muda gani, kwa malipo yepi.

Kwa hiyo hakuna kifungu chenye kosa hapo, na kama kipo kingesharekebushwa zamani sana. Upo hapo ulipo?

Wewe unasema kifungu kipi chenye makosa?
 
Kijana, hilo limeshatolewa ufafanuzi na kila mtu.

Hakuna kifungu chenye utata na HGA na concession agreements ndiyo zenye ukomo. Zenye kuonesha kapewa nini akifanyie kazi, kwa muda gani, kwa malipo yepi...
TLS wametoa list ya vifungu vingi ambavyo havina maslahi kwetu ktk mkataba ule, katafute uchambuzi wao wa kisomi sana utaona.
 
Back
Top Bottom