Nimeiona. Waliokamatwa kwa uhaini walikuwa ni babu Duni.
Bila shaka utakuwa umetambua wenye kumbukumbu siyo wewe au ninyi peke yenu na kuwa,chelea mbambikiza kesi hana dini huyo ndugu.
Wewe ulidhani sijui? Hapa hujatumia ID fiche, hivyo nakuona na nakutambua na hilo halitaki tochi.
ID fiche unajua maana yake?
Zawadini,
FaizaFoxy, nk zote ni ID fiche - haziko verified.
Mshana Jr,
Pascal Mayalla, na za namna hiyo hizo ni verified ziko na blue tick. Hao hawana cha kujificha.
Jiridhishe kuhusiana na unachochangia kupisha kukuruka.
Uzoefu sio lazima wa kidijitali, hata huo wa analog ni uzoefu na ndo ulotupeleka hapa kwenye dijitali.
Tofauti ya u analog na u digitali ni kwenye quality yaani thamani. Katu hilo haliwezi kudogoshwa Kwa vyovyote.
Ni kweli hesabu ya moja na moja ni mbili kianalogi lkn onaweza kuwa tatu au nne. Hii huijui na dijitali yako? Waswahili husema ukimnyooshea mwenzio kidole kimoja, vitatu vinaelekea kwako. Na hili nalo unapaswa kulijua.
Katu moja na moja haiwezi kuwa tatu wala nne. Bora ungesema 10 au 11. Ungeweza kueleweka kuwa hiyo labda ni hisabati lau elektroniki. 1 + 1 haiwezi kuwa kwenye lugha za ki makunduchi au ki makuan huko 🤣🤣!
Tunazungumzia JF na sio mahala pingine.
Ninazungumzia JF. Hivyo tuko kwenye uwanja tambarare. Beberu nakiita, level ground.
Hili la CCM tunasema sote.
Kwetu ni mchanganyiko wa zambarau na CCM. Si izi nchi ni tofauti?
Kwenye hili hatuwezi kumwelewa mtu kuwa katikati.
"Utakuwa pamoja nao au utakuwa nasi."
Tunawazoom na kuwasoma kuwa mmechagua kuwa nao.
Hii bila ya kusahau kuwa kiti pale ni sambarau.