N A K A Z I A [emoji419]Zile namba hazitengenezwi na yale makampuni kama autocar, masasi na mengine yanayoshinda tenda na kupewa ubora na tbs. Zile namba zinabandikwa kwenye vibati vya hayo makampuni na hutengenezwa mitaani. Ukute kina masasi na autocar wamebigwa bao kiteknolojia ikabidi wasage kunguni kwa kuwa wao ndio hupewa tenda ya kutengeneza plate number
Uko sahihi kabisa, ni lazima zi comply na standards (TBS)Majina ni kitu ambacho kipo rasmi. Uniform nayosema ni maandishi, rangi, aina, vifanane. Huwezi kuruhusu kila mtu kuja na plate namba ya dizaini yake.
MmmmhhTinted ya taa ina shida gani?
Nadhani tochi itakuwa hainasi.Sheria gani inazuia hebu tujuzeni kwanza?sio kusema tu kosa kisheria
Toa elimu mkuu wasiojua madhara😅🤣 ONA WAPUMBAVU WALIOWEKA 3D NA TINTED wanavyo jitetea ushenz mtupu... Huna akili kama hujui madhara ya 3d na Taa za tinted... Huna akili kabisa
Ukweli ni kuwa wenye magari wamewatengenezea hiyo mirija ya ulaji.Askari wakiamua kutafuta mrija wa hela ni hatari sana.
[emoji3]Nadhani tochi itakuwa hainasi.