Kamata kamata tinted taa za Magari

Kamata kamata tinted taa za Magari

Isije ikawa huo mtindo haujapata ithibati toka tbs na hautengenezwi na yale makampuni yanayopata kandarasi serikalini kutengeneza namba hizo. Au wenye kutengeneza plate number wa awali wamechukia namba zao kutunishwa na watu wengine ikabidi walete unaa kuwa namba zao zinafojiwa
 
Zile namba hazitengenezwi na yale makampuni kama autocar, masasi na mengine yanayoshinda tenda na kupewa ubora na tbs. Zile namba zinabandikwa kwenye vibati vya hayo makampuni na hutengenezwa mitaani. Ukute kina masasi na autocar wamepigwa bao kiteknolojia ikabidi wasage kunguni kwa kuwa wao ndio hupewa tenda ya kutengeneza plate number
 
Zile namba hazitengenezwi na yale makampuni kama autocar, masasi na mengine yanayoshinda tenda na kupewa ubora na tbs. Zile namba zinabandikwa kwenye vibati vya hayo makampuni na hutengenezwa mitaani. Ukute kina masasi na autocar wamebigwa bao kiteknolojia ikabidi wasage kunguni kwa kuwa wao ndio hupewa tenda ya kutengeneza plate number
N A K A Z I A [emoji419]
 
Mnajua kuwa kutengeneza plate number ni tenda inayotangazwa na serikali? Kampuni inayoshinda hupewa ithibati na tbc kutengeneza namba hizo, kuna masasi sign, autocar na wengine ambao hushinda tenda. Sasa hawa wanaotengeneza 3D hubandika nambar zao juu ya namba za awali za kampuni zingine, wanafoji, ni kinyume cha sheria. Hata wenye lebel brand waliotengeneza vibati hawatakubali namba za zi be transfigured. Kwanza zinatengenezwa na wahuni mitaani na hazina ithibati ya tbs
 
Waneshapata kichaka kingine cha kuwasumbua wenye magari. Kwenye hii nchi bora umiliki baiskeli au pikipiki. Ila siyo gari.

Maana utajikuta umegeuzwa kuwa ng'ombe wa maziwa na hao askari wa barabarani.
 
Back
Top Bottom