Kamata kamata tinted taa za Magari

Kamata kamata tinted taa za Magari

Wanataka tujiajiri kwenye nini? Suala la 3D plate number ni kitu mtu alikaa chini akabuni, akatengeneza ajira kwake na watu wengine. Unapo piga marufuku kitu hicho bila sababu za msingi unataka huyu mtu aliyechagua kujiajiri katika eneo hilo akale wapi? Hiyo mishahara yenu ya kulalamikia nyongeza kila mei mosi ndo itatulisha??!

Ila Tanzania ni li-nchi lina viongozi wapumbavu sana. Hivi 3D Plate number ina badili nini kwenye usajili wa Gari? 'T 123 EKG' inabadilika ikiwa 3D?! Mnataka tufanye kazi gani lakini? Basi acheni kufyeka mashamba yetu ya bangi basi.

Anyway. Vijana tujiajiri.
 
WOTE WANAUWEKA 3D NI WAPUMBAVU WASHAMBA NA MATAIRA MALIMBUKENI... KUNA UPUMBAV NI MTOTO MDOGO WA DARASA LA 4 NDIO ANAWEZA KUFANYA...
Mtu una miliki ki crown IST passo rush au xtrail unaweka mbwembwe, what if ukija kumiliki brand kubwa??
Wewe ndo punguani kabisaa badala ya kuelezea athari za kuweka 3D unakuja na hoja mfilisi kbs,kwaiyo mtu asipendezeshe gari kisa ana passo,ingekuwa ivyo bs car accessories zingekuwa za brand cars only! Idiot
 
Jeshi la Polisi Tanzania limetoa tamko kuwa ni kosa kwa magari kubandikwa 3D number plate.

Na wanasema msako umeanza kukamata magari yote yenye 3D number plate.
Nini maoni yako?
A43212AD-DFEB-401E-8096-517150C36FF5.jpeg
A3B66314-C048-47B3-81A6-7489E2EB5582.jpeg
 
Back
Top Bottom