raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Nilichoelewa ni kuwa hazitakiwi kabisaWanabadilisha hawaweki halisi, mtu anajitungia linamba analiweka in form of 3D
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilichoelewa ni kuwa hazitakiwi kabisaWanabadilisha hawaweki halisi, mtu anajitungia linamba analiweka in form of 3D
Mtuelezee basi na ubaya wa 3D za number plate
Unaeza kuta hata gari huna.WOTE WANAUWEKA 3D NI WAPUMBAVU WASHAMBA NA MATAIRA MALIMBUKENI... KUNA UPUMBAV NI MTOTO MDOGO WA DARASA LA 4 NDIO ANAWEZA KUFANYA...
Mtu una miliki ki crown IST passo rush au xtrail unaweka mbwembwe, what if ukija kumiliki brand kubwa??
Ni busara kuweka tinted kwenye taa za mbele? Ni busara kubadilisha namba ilivyoandikwa na kujiandikia kivyako?Askari wakiamua kutafuta mrija wa hela ni hatari sana.
Nadhani polisi wako sahihi kabisa. Namba za gari zinatakiwa ziwe uniform.Wazee wa 3D nao wanasakwa.. hii ndo bongo ipo siku watakamata wanaojaza mafuta full tank tupo hapa si mtaonaaa😁
Mbona kuna watu wanatumi majina yao badala ya namba? Uniform ipi unayoizungumzia hapa?Nadhani polisi wako sahihi kabisa. Namba za gari zinatakiwa ziwe uniform.
Ndio hazitakiwi,Nilichoelewa ni kuwa hazitakiwi kabisa
Unafikiri wana majibu basi....watu wapowapo tu...Madhara ya tinted za taa ni yap? Mda mwingine maelezo ya kutosha husaidia utii bila shurut...
Wewe ndo punguani kabisaa badala ya kuelezea athari za kuweka 3D unakuja na hoja mfilisi kbs,kwaiyo mtu asipendezeshe gari kisa ana passo,ingekuwa ivyo bs car accessories zingekuwa za brand cars only! IdiotWOTE WANAUWEKA 3D NI WAPUMBAVU WASHAMBA NA MATAIRA MALIMBUKENI... KUNA UPUMBAV NI MTOTO MDOGO WA DARASA LA 4 NDIO ANAWEZA KUFANYA...
Mtu una miliki ki crown IST passo rush au xtrail unaweka mbwembwe, what if ukija kumiliki brand kubwa??
[emoji23][emoji23][emoji23] ndio ushangae huko yalipotoka yabakuja vizuri tu yakija huku uanatiwa bwbwe kibao ndio mana mengine yanawaka moto...Hivi taa ya gari unaiwekea tinted ili iweje?
Majina ni kitu ambacho kipo rasmi. Uniform nayosema ni maandishi, rangi, aina, vifanane. Huwezi kuruhusu kila mtu kuja na plate namba ya dizaini yake.Mbona kuna watu wanatumi majina yao badala ya namba? Uniform ipi unayoizungumzia hapa?