Kamata kamata tinted taa za Magari

Kamata kamata tinted taa za Magari

Jeshi la Polisi Tanzania limetoa tamko kuwa ni kosa kwa magari kubandikwa 3D number plate.

Na wanasema msako umeanza kukamata magari yote yenye 3D number plate.
Nini maoni yako?View attachment 2705359View attachment 2705361
Huu ni upumbavu wa hali ya juu!
Hivi 3d inazuia nini? Kuna jinai gani kwenye 3d? Nilitegemea watu wanaoweka 3d wapongezwe kwa sababu plate numbe zinasomeka vyema!
Hii ndio shida ya kukosa kazi
 
Siwatetei polisi ila hizi 3D hazina ubora, zinabanduka hivyo wahalifu wanaweza kutumia huu mwanya kubandika namba feki wakati wa matukio yao.

Nami nililiona hili mapema sana. Kwa jinsi zilivyo (kubandika tu), ni possible kabisa waharifu kuzimanipulate kiurahisi sana kwenye matukio ya kiharifu.

-Kaveli-
 
Siwatetei polisi ila hizi 3D hazina ubora, zinabanduka hivyo wahalifu wanaweza kutumia huu mwanya kubandika namba feki wakati wa matukio yao.
Sasa wamezizuia kwa sababu hazina ubora? Kwanini wasihamasishe 3d zenye ubora? Au kuweka kiwango cha ubora? Si waseme tuu kama wanataka kodi?
 
Siwatetei polisi ila hizi 3D hazina ubora, zinabanduka hivyo wahalifu wanaweza kutumia huu mwanya kubandika namba feki wakati wa matukio yao.
Hata kabla haziwazuii wahalifu kubandika plate number feki
 
Huu ni upumbavu wa hali ya juu!
Hivi 3d inazuia nini? Kuna jinai gani kwenye 3d? Nilitegemea watu wanaoweka 3d wapongezwe kwa sababu plate numbe zinasomeka vyema!
Hii ndio shida ya kukosa kazi
we huoni kama wameingilia tenda za watu? Japo namba za 3D zinaonekana ni bora na za kisasa lakini hazijaidhinishwa na tbs na pia hao jamaa wanaofoji namba hizo hawakupewa tenda hiyo
 
Back
Top Bottom