Bora ume declare interest mapema kuwa huna gari kabla wazee wa 3D na taa tinted hawajaja kukutolea povu..Hizi plate number za mbwembwe za 3D kiukweli kuna angle ukikaa plate nmba haionekan vizuri
Sina gari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora ume declare interest mapema kuwa huna gari kabla wazee wa 3D na taa tinted hawajaja kukutolea povu..Hizi plate number za mbwembwe za 3D kiukweli kuna angle ukikaa plate nmba haionekan vizuri
Sina gari.
Sheria gani inaruhusu kuweka hivo?Sheria gani inazuia hebu tujuzeni kwanza?sio kusema tu kosa kisheria
Huu ni upumbavu wa hali ya juu!Jeshi la Polisi Tanzania limetoa tamko kuwa ni kosa kwa magari kubandikwa 3D number plate.
Na wanasema msako umeanza kukamata magari yote yenye 3D number plate.
Nini maoni yako?View attachment 2705359View attachment 2705361
Nakubaliana na wewe kabisa kwa asilimia miaSiwatetei polisi ila hizi 3D hazina ubora, zinabanduka hivyo wahalifu wanaweza kutumia huu mwanya kubandika namba feki wakati wa matukio yao.
Mtu anaweza weka namba feki kirahisi... tochi hainasi au tatizo nini?
Laser inakata KKOOZina printiwa mtaani nini
Ova
Siwatetei polisi ila hizi 3D hazina ubora, zinabanduka hivyo wahalifu wanaweza kutumia huu mwanya kubandika namba feki wakati wa matukio yao.
Sasa wamezizuia kwa sababu hazina ubora? Kwanini wasihamasishe 3d zenye ubora? Au kuweka kiwango cha ubora? Si waseme tuu kama wanataka kodi?Siwatetei polisi ila hizi 3D hazina ubora, zinabanduka hivyo wahalifu wanaweza kutumia huu mwanya kubandika namba feki wakati wa matukio yao.
Hata kabla haziwazuii wahalifu kubandika plate number fekiSiwatetei polisi ila hizi 3D hazina ubora, zinabanduka hivyo wahalifu wanaweza kutumia huu mwanya kubandika namba feki wakati wa matukio yao.
Ni makosa kuweka tint mbele, ukienda nchi zote zilizoendelea hukuti tintNajua wanakuja tinted ya kioo cha mbele.
Kwani gari lilikuja na hiyo tint?Tinted ya taa ina shida gani?
Ubishoo ulizidiDaaah bora wengine waliweka mpk uoni akipiga ya kuingia kushoto wala kulia.
Kwanini kiwandani hawakuweka ?Madhara ya tinted za taa ni yap? Mda mwingine maelezo ya kutosha husaidia utii bila shurut...
ee! Zinatengenezwa mitaani, yale makampuni yanayopewa ithibati na tbs lazima yamaindi namba zao kufojiwa. Wahuni wametengeneza hela chapchap na kuwapa idea mpya kina masasi sign na autocar kuboresha namba zaoZina printiwa mtaani nini
Ova
we huoni kama wameingilia tenda za watu? Japo namba za 3D zinaonekana ni bora na za kisasa lakini hazijaidhinishwa na tbs na pia hao jamaa wanaofoji namba hizo hawakupewa tenda hiyoHuu ni upumbavu wa hali ya juu!
Hivi 3d inazuia nini? Kuna jinai gani kwenye 3d? Nilitegemea watu wanaoweka 3d wapongezwe kwa sababu plate numbe zinasomeka vyema!
Hii ndio shida ya kukosa kazi