Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
Bila shaka wote ni wazima, ccm inazidi kukipaisha CHAMA cha chadema ,wakizani kuwa kwa kuwakamata viongozi wao na wanachama wa chadema kila mara ni kukizofisha CHAMA hicho,kumbe wanakipiga teke CHAMA hicho na kukiongezea safari.
Chadema inazidi kuwaingia mioyoni watu mbalilmbali ndani na nje ya nchi. Wanakifanya watu waendelee kukifatilia na kukijua zaidi hatimae kuvutiwa nacho.
Ccm wanafanya kosa la kiufundi sana kisiasa, kama CHAMA dola kuruhusu viombo vya dola kuendelea kuwakamata viongozi wa juu.
Kisaikolojia unapokataza watu wasifanye kitu ndivyo wataendelea kukifanya zaidi, hivyo mwakani kwa kutumia jicho la tatu chadema kitakuwa na nguvu zaidi kulinganisha na nyuma huko.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.