🤣 Gentleman,
unanikumbusha mbali kichizi aise dah!
hivi ni 4 au 6 hiyo sijui hata lilikua ni novel ama nini hata sikumbuki 🤣
anyway, hiyo ibaki story tu.
Wacha nikukukumbushe jambo moja la maana na muhimu sana, gentleman,
Licha ya kwamba mimi ni mwananchi na mdau wa kawaida humu jukwaani,
Lakini pia mimi ni kiongozi wa wananchi, mbobevu muandamizi wa masuala ya kisiasa na kidiplomasia. hayo ni ya kawaida..
na ile muhimu zaidi ni kwamba,
I am unknown apostle. Sisingiziwi, sitishiwi wala kuhesabiwa haki, siku au neema na Baraka za Mungu ndani yangu.
Sipiganagi mwenywe, napiganiwa na Baba 🐒