Kamata kamata ya viongozi wa chadema, CHAMA hiki kinazidi kukuwa ndani na nje nchi

sa
Mfumo wowote ule haupingwi kwa maneno matupu gentleman, unapingwa kwa mfumo mbadala imara zaid na bora zaid ya unadhani sio mzuri.

vile vile rushwa na ufisadi, huipiganwi kwa maneno matupu na kulalamika ndrugu zangu. where are you alternative plan to address it?

Bila kua na mawazo mapya, fikra na mipango mahususi mbadala ya kukabiliana na mfumo au rushwa, mtapiga kelele mpaka ukamilifu wa dahari.

Mungu ni wa wote gentleman,

Na tujipeleke sote kwa Mungu kadiri ya mawazo, maneno na matendo ya kila moja aliyoyafanya humu duniani 🐒
sawa gentle man umeamua kuungana na mfumo wa Rushwa kwa ssb hawezi kuubadilisha au sio? You are just a" watcher" ,silenser, without doing northing" however thought-word-behaviour- success- destiny. It depend on each other. No action without word or thought gentleman
 
Gentleman,
binafsi huwa nashangaa sana, hususani upinzani kulalamikia mfumo sijui wa CCM au serikali sikivu ya CCM.
Huo ndiyo mfumo wake, unatakaje CCM ibadilishe mfumo wake?

Si utumie wako kuingia madarakani na ufanye utakayotaka kufanya kutumia huo mfumo wako na chama chako?

hakuna familia inayoweza kwenda kubadili mfumo wa maisha wa familia nyingine itakavyo. Hakuna kitu kama hicho gentleman.

Changamoto, dosari na kasoro mbalimbali kwenye uendeshaji wa chama na serikali sikivu ya CCM, husahihishwa, hurekebishwa vyema, halafu, kama Taifa tunasonga mbele kwa pamoja 🐒
 
Sawa nimekusoma gentleman, ngoja tuendeleee kusubili, uma wa Tanzania utakapo choka na kuchukua mamuzi magumu juu ya mfumo unawanufaisha familia chache.
 
unasubiri umma upi tena gentleman?🤣

umma wa waTanzania ndiyo unaongoza nchi, wewe umekaa mahali eti unasubiri umma, utasubiri sana gentleman 🐒
 
Bila shaka wote ni wazima, ccm inazidi kukipaisha CHAMA cha chadema ,wakizani kuwa kwa kuwakamata viongozi wao na wanachama wa chadema kila mara ni kukizofisha CHAMA hicho,kumbe wanakipiga teke CHAMA hicho na kukiongezea safari.
Chawe.Lake.Ninmuda mwdema inazidi kuwaingia mioyoni watu mbalilmbali ndani na nje ya nchi. Wanakifanya watu waendelee kukifatilia na kukijua zaidi hatimae kuvutiwa nacho.
Ccm wanafanya kosa la kiufundi sana kisiasa, kama CHAMA dola kuruhusu viombo vya dola kuendelea kuwakamata viongozi wa juu . kisaikolojia unapokataza watu wasifanye kitu ndivyo wataendelea kukifanya zaidi, hivyo mwakani kwa kutumia jicho la tatu chadema kitakuwa na nguvu zaidi kulinganisha na nyuma huko.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Nakubaliana na wewe.Ni Muda mwafaka Sasa wana CCM tujitafakali wapi tumekosea..Mwaka 1995 Mrema na NCCR yake alitusumbua mno hadi Mkapa alipata kura kiduchu.Mwaka 2010 JK alipata tabu sana kutokana na upinzani wa Dk Slaa na Chadema yake.Na Mwaka 2015 Chadema ilitutoa jasho.
Lakini ukiangalia kwa umakini upinzani huwa hautaamalaki kama CCM inafanya vizuri.Ndiyo maana mwaka 2000 Mkapa alifanya vizuri kabisa baada ya kazi nzuri ambayo ilimsaidia hata JK kufanya vizuri mno mwaka 2005 na Mwaka 2020 Magufuli alifanya vema sana.
 
Bila shaka wote ni wazima, ccm inazidi kukipaisha CHAMA cha chadema ,wakizani kuwa kwa kuwakamata viongozi wao na wanachama wa chadema kila mara ni kukizofisha CHAMA hicho,kumbe wanakipiga teke CHAMA hicho na kukiongezea safari.
Chawe.Lake.Ninmuda mwdema inazidi kuwaingia mioyoni watu mbalilmbali ndani na nje ya nchi. Wanakifanya watu waendelee kukifatilia na kukijua zaidi hatimae kuvutiwa nacho.
Ccm wanafanya kosa la kiufundi sana kisiasa, kama CHAMA dola kuruhusu viombo vya dola kuendelea kuwakamata viongozi wa juu . kisaikolojia unapokataza watu wasifanye kitu ndivyo wataendelea kukifanya zaidi, hivyo mwakani kwa kutumia jicho la tatu chadema kitakuwa na nguvu zaidi kulinganisha na nyuma huko.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Nakubaliana na wewe.Ni Muda mwafaka Sasa wana CCM tujitafakali wapi tumekosea..Mwaka 1995 Mrema na NCCR yake alitusumbua mno hadi Mkapa alipata kura kiduchu.Mwaka 2010 JK alipata tabu sana kutokana na upinzani wa Dk Slaa na Chadema yake.Na Mwaka 2015 Chadema ilitutoa jasho.
Lakini ukiangalia kwa umakini upinzani huwa hautaamalaki kama CCM inafanya vizuri.Ndiyo maana mwaka 2000 Mkapa alifanya vizuri kabisa baada ya kazi nzuri ambayo ilimsaidia JK kufanya vizuri mno mwaka 2005 na Mwaka 2020 Magufuli alifanya vema sana.
 
Hata hivyo,nina Imani na Chama changu CCM kuwa kitafanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.CCM inadumu kwa sababu huijiendesha kama Kanisa Katoliki kwa kujisahihisha kila kinapopata dhoruba ambayo mara zote hutokana na uongozi mbovu wa Kiongozi Mkuu wa Chama na Serikali.
 
Tufarijiane kwa maneno hayo na mtu mmoja asema Amen
Chadema kuishinda CCM ni sawa Mende kuangusha
Tunahitaji upinzani wenye nguvu na wenye kauli moja huu upinzani tuliona umegawanyika vipande vipande na hauna nguvu
Mkuu std7, ndio upeo wako huo?
 
Tungekuelewa kama ungesema yeyote atakaye kiuka sheria za nchi ambaye siyo mwana ccm. Usiongee jumla jumla ili kujidai unaipenda Tanzania kuliko wote hapa.
Kuna sheria ngapi zinavunjwa huko serikalini na ccm na hakuna sheria zinazochukuliwa?
Ulishawahi kuona kiongozibtoka ccm anakamatwa na polisi hovyo?
Rage alionesha bastola kwenye kampeni huko TABORA alikamatwa?
Mkuu, huyo wakati wa rage alikuwa shule.
 
Kip
Hata hivyo,nina Imani na Chama changu CCM kuwa kitafanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.CCM inadumu kwa sababu huijiendesha kama Kanisa Katoliki kwa kujisahihisha kila kinapopata dhoruba ambayo mara zote hutokana na uongozi mbovu wa Kiongozi Mkuu wa Chama na Serikali.
Nakubaliana na wewe.Ni Muda mwafaka Sasa wana CCM tujitafakali wapi tumekosea..Mwaka 1995 Mrema na NCCR yake alitusumbua mno hadi Mkapa alipata kura kiduchu.Mwaka 2010 JK alipata tabu sana kutokana na upinzani wa Dk Slaa na Chadema yake.Na Mwaka 2015 Chadema ilitutoa jasho.
Lakini ukiangalia kwa umakini upinzani huwa hautaamalaki kama CCM inafanya vizuri.Ndiyo maana mwaka 2000 Mkapa alifanya vizuri kabisa baada ya kazi nzuri ambayo ilimsaidia JK kufanya vizuri mno mwaka 2005 na Mwaka 2020 Magufuli alifanya vema sana.
Ccm ina kila kitu, lakin BAdo wanaogopa chadema mkuu, shida nn CHAMA zaidi ya miaka 60, inakiopaga chadema miaka20
 
unasubiri umma upi tena gentleman?🤣

umma wa waTanzania ndiyo unaongoza nchi, wewe umekaa mahali eti unasubiri umma, utasubiri sana gentleman 🐒
Hahahahahah, gentleman, siku zinakuja, hapata salia ,jiwe wala mlima, yeyeyote alihusika katika mfumo wa serikali atalia na kusaga meno. Soma kitabu kinaitwa the "beautyful ones are not yet born" by Ayi kwei Amah
 
🤣 Gentleman,

unanikumbusha mbali kichizi aise dah!
hivi ni 4 au 6 hiyo sijui hata lilikua ni novel ama nini hata sikumbuki 🤣
anyway, hiyo ibaki story tu.

Wacha nikukukumbushe jambo moja la maana na muhimu sana, gentleman,

Licha ya kwamba mimi ni mwananchi na mdau wa kawaida humu jukwaani,

Lakini pia mimi ni kiongozi wa wananchi, mbobevu muandamizi wa masuala ya kisiasa na kidiplomasia. hayo ni ya kawaida..

na ile muhimu zaidi ni kwamba,
I am unknown apostle. Sisingiziwi, sitishiwi wala kuhesabiwa haki, siku au neema na Baraka za Mungu ndani yangu.

Sipiganagi mwenywe, napiganiwa na Baba 🐒
 
Back
Top Bottom