Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
🤣 🤣 🤣Kwamba kamata kamata ni Promotion Kwa CDM na ni Demotion Kwa CCM wakati huo huo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣Kwamba kamata kamata ni Promotion Kwa CDM na ni Demotion Kwa CCM wakati huo huo.
Nmegundua ukombozi nikitu kigumu sana, nmetuma swali limepuuzwa kwenye kijiji changu , hapo hapo hiyobarabara wanayokanyaga nimechangia 40%Hahahahahaha, Kazi sana mkuu, safari ni ndefu sana
ukikiuka sheria, vyombo vya ulinzi havitasita hata sekunde kukuchukulia hatua.Gengleman sheria ni msumeno inatakiwa ukate huku na huku
Kisaikolojia unapokataza watu wasifanye kitu ndivyo wataendelea kukifanya zaidi.Bila shaka wote ni wazima, ccm inazidi kukipaisha CHAMA cha chadema ,wakizani kuwa kwa kuwakamata viongozi wao na wanachama wa chadema kila mara ni kukizofisha CHAMA hicho,kumbe wanakipiga teke CHAMA hicho na kukiongezea safari.
Chadema inazidi kuwaingia mioyoni watu mbalilmbali ndani na nje ya nchi. Wanakifanya watu waendelee kukifatilia na kukijua zaidi hatimae kuvutiwa nacho.
Ccm wanafanya kosa la kiufundi sana kisiasa, kama CHAMA dola kuruhusu viombo vya dola kuendelea kuwakamata viongozi wa juu . kisaikolojia unapokataza watu wasifanye kitu ndivyo wataendelea kukifanya zaidi, hivyo mwakani kwa kutumia jicho la tatu chadema kitakuwa na nguvu zaidi kulinganisha na nyuma huko.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Kabisa mkuu una akili mingi aseeKisaikolojia unapokataza watu wasifanye kitu ndivyo wataendelea kukifanya zaidi.
Ni kwelo kabisa enzi zile tulikuwa tunakatazwa kuangalia mikanda ya pilau lakini tulikuwa tunafanya kila namna ya jitihada ili tuione na kuaangalia yaliyomo
hizo ni imani mgando potofu,Mkuu sheria Tanzania, ambapo unaweza kupingia jaji simu na akamua isivyo, "rostam aziz"
Mkuu uko poa ?hizo ni imani mgando potofu,
ukikiuka sheria utawajibishwa ipasavyo bila mbambamba yoyote gentleman 🐒
Sana mkuu, ukombozi sio lelemama, nchi yetu tumekosa elimu bora, utamaduni wa uwajibikaji, uwadilifu, so ukombozi ni lazima watu wapoze mali uhai, na mda.Nmegundua ukombozi nikitu kigumu sana, nmetuma swali limepuuzwa kwenye kijiji changu , hapo hapo hiyobarabara wanayokanyaga nimechangia 40%
Sio imani mkuu, ACHA ushabiki, hata makonda alipokuwa iringa alisema , "kama huna fedha,usipeleke kesi Yako mahakani" inawekana ww sio MTANZANIA, au umezaliwa miaka ya 2000hizo ni imani mgando potofu,
ukikiuka sheria utawajibishwa ipasavyo bila mbambamba yoyote gentleman 🐒
Ni kweli mkuu, angalia mandamano ya chadema, yalirusiwa haya kuwa na impact yoyote kisiasa, lakini kama wangekatazwa, ndipo wangeendelea kudai mandamano, lakini saizi hausiki tena wakiandana. Ukiwa mwasiasa mzuri ni lazima ujui vzr saikolojia.Kisaikolojia unapokataza watu wasifanye kitu ndivyo wataendelea kukifanya zaidi.
Ni kweli kabisa enzi zile tulikuwa tunakatazwa kuangalia mikanda ya pilau lakini tulikuwa tunafanya kila namna ya jitihada ili tuione na kuaangalia yaliyomo
mimi siwez kuamini mambo ya mtu mwingine kwasababu huo ni ushirkina gentleman,Sio imani mkuu, ACHA ushabiki, hata makonda alipokuwa iringa alisema , "kama huna fedha,usipeleke kesi Yako mahakani" inawekana ww sio MTANZANIA, au umezaliwa miaka ya 2000
Ccm imeshafika mwisho....ni swala la muda tuBila shaka wote ni wazima, ccm inazidi kukipaisha CHAMA cha chadema ,wakizani kuwa kwa kuwakamata viongozi wao na wanachama wa chadema kila mara ni kukizofisha CHAMA hicho,kumbe wanakipiga teke CHAMA hicho na kukiongezea safari.
Chadema inazidi kuwaingia mioyoni watu mbalilmbali ndani na nje ya nchi. Wanakifanya watu waendelee kukifatilia na kukijua zaidi hatimae kuvutiwa nacho.
Ccm wanafanya kosa la kiufundi sana kisiasa, kama CHAMA dola kuruhusu viombo vya dola kuendelea kuwakamata viongozi wa juu . kisaikolojia unapokataza watu wasifanye kitu ndivyo wataendelea kukifanya zaidi, hivyo mwakani kwa kutumia jicho la tatu chadema kitakuwa na nguvu zaidi kulinganisha na nyuma huko.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
niko poa kabisa kamanda, kwema huko 🐒Mkuu uko poa ?
Alhamdulillah huku ni salama kabisa Mkuuniko poa kabisa kamanda, kwema huko 🐒
Mungu ni mwema sana gentleman 🐒Alhamdulillah huku ni salama kabisa Mkuu
Bila shaka wote ni wazima, ccm inazidi kukipaisha CHAMA cha chadema ,wakizani kuwa kwa kuwakamata viongozi wao na wanachama wa chadema kila mara ni kukizofisha CHAMA hicho,kumbe wanakipiga teke CHAMA hicho na kukiongezea safari.
Chadema inazidi kuwaingia mioyoni watu mbalilmbali ndani na nje ya nchi. Wanakifanya watu waendelee kukifatilia na kukijua zaidi hatimae kuvutiwa nacho.
Ccm wanafanya kosa la kiufundi sana kisiasa, kama CHAMA dola kuruhusu viombo vya dola kuendelea kuwakamata viongozi wa juu . kisaikolojia unapokataza watu wasifanye kitu ndivyo wataendelea kukifanya zaidi, hivyo mwakani kwa kutumia jicho la tatu chadema kitakuwa na nguvu zaidi kulinganisha na nyuma huko.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Upo sahihi, lakini mifumo ya unyonyaji inatakiwa ipingwe na kila mtu mwenye akili timamu na hofu ya Mungu, Rushwa, ufisadi,unafiki, matumizi mabaya ya madaraka, uongo nk, ni dhambi kwa Mungu gentleman.mimi siwez kuamini mambo ya mtu mwingine kwasababu huo ni ushirkina gentleman,
utakua unashindwa kila unachopanga hata kabla ya kuanza, ukiendekeza hiyo nonsense.
Lazima ujiamini, huku ukimtanguliza Mungu kwenye mipango yako.
huo unyonge wa kukariri kushindwa ni completely useless 🐒
Mfumo wowote ule haupingwi kwa maneno matupu gentleman, unapingwa kwa mfumo mbadala imara zaid na bora zaid ya unadhani sio mzuri.Upo sahihi, lakini mifumo ya unyonyaji inatakiwa ipingwe na kila mtu mwenye akili timamu na hofu ya Mungu, Rushwa, ufisadi,unafiki, matumizi mabaya ya madaraka, uongo nk, ni dhambi kwa Mungu gentleman.