Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu watu washindane kwa hoja,nasiokukamatana au matusiShida haya mapambano ya vyama ni kuoneshana ubabe nguvu na kupoteza muda kwenye kutupiana maneno na kupigana vijembe.
Wote badilikeni, toeni sera imara ya vyama vyenu kuimarisha elimu, afya, uchumi, usalama n.k na pia vipi mtatekeza hiyo sera yenu na vipi vipimo vya mafanikio ya sera yenu
Haya mengine acheni wapeni wananchi mapumziko na vitu visivyo na maana
Hivyo vinaimarishwa na nani wezi waliojimilikisha vyote au?Shida haya mapambano ya vyama ni kuoneshana ubabe nguvu na kupoteza muda kwenye kutupiana maneno na kupigana vijembe.
Wote badilikeni, toeni sera imara ya vyama vyenu kuimarisha elimu, afya, uchumi, usalama n.k na pia vipi mtatekeza hiyo sera yenu na vipi vipimo vya mafanikio ya sera yenu
Haya mengine acheni wapeni wananchi mapumziko na vitu visivyo na maana
Huo uwanja wa kushindana kwa hoja upo wapi?Kabisa mkuu watu washindane kwa hoja,nasiokukamatana au matusi
Gentleman,
yeyote atakae kiuka sheria za nchi atawajibishwa ipasavyo bila kumcheleweshwa hata sekunde moja,
maana hakuna namna nyingine sasa š
Yakutoka wapi kwa mazingira ya sasa,halafu tunashangaa kwanini taifa maskini,ila waliojimilikisha ni matajiri hadi zingine wanahifadhi mataifa ya watu.Na
Jamii yenye uwadilifu na uwajibikaji na katiba mpya.
Uadilifu sii sehemu ya maisha wala desturi ya watawala na wanasii hasa wa hapa kwetu.Na
Jamii yenye uwadilifu na uwajibikaji na katiba mpya.
Halafu hao hao wanaenda na bakuli kubwa kuenda kuomba omba, kwao wazungu wanatusha sana, "black people are really incomplete a human being"Yakutoka wapi kwa mazingira ya sasa,halafu tunashangaa kwanini taifa maskini,ila waliojimilikisha ni matajiri hadi zingine wanahifadhi mataifa ya watu.
Chadema pia ni shit hole , kama wanaweza weka wagombea dhaifu kama hawa wana akili gani sasa?Hajakujibu mkuu
Mkuu hao wa mama ndio nyumbu kabisa hakuna kitu wanajua kabisaš¤Free man Mbowe ana stress zake ,hakutegemea kama mama angeweza badili gia angani
Mkuu nguvu ipi unayo hitaji kuliko inayoonekana upinzani kiasi cha asilimia 70% ya wagombea wao kuenguliwa nchi nzima???Tufarijiane kwa maneno hayo na mtu mmoja asema Amen
Chadema kuishinda CCM ni sawa Mende kuangusha
Tunahitaji upinzani wenye nguvu na wenye kauli moja huu upinzani tuliona umegawanyika vipande vipande na hauna nguvu