Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Gentleman,Tungekuelewa kama ungesema yeyote atakaye kiuka sheria za nchi ambaye siyo mwana ccm. Usiongee jumla jumla ili kujidai unaipenda Tanzania kuliko wote hapa.
Kuna sheria ngapi zinavunjwa huko serikalini na ccm na hakuna sheria zinazochukuliwa?
Ulishawahi kuona kiongozibtoka ccm anakamatwa na polisi hovyo?
Rage alionesha bastola kwenye kampeni huko TABORA alikamatwa?
huna haja ya kubabaika wala kua na mawenge.
Tii sheria bila shuruti, vinginevyo takabiliwa ipasavyo bila mbambamba yoyote 🐒