Kamati iliyotoa Mapendekezo ya Kamati ya Msajili wa Vyama Kuhusu Katiba Mpya, Kisheria na Kimantiki ni Batili

Ww mende huna hoja .

Unapochangia hoja simamia hoja sio kuanza kutaja watu.

Huna akili wewe.
 
Maana ya Mutungi ni mfugaji .

Lakini kwa kweli Tanzania imekosa viongozi wenye kujua nchi inahitaji nini na nini kifanyike ,tuna viongozi ambao hawana dira na maono Sasa kwa Hali hiyo hawawezi kuleta maendeleo.

Pasko Mayala Juzi alisemaje hili Jambo kwamba Tanzania kama taifa hatuna vipaumbele Kila kiongozi akiingia ni kufanya yake anayoona anayaweza .Tujisahihishe kwa kweli kama Tunataka kwenda mbele
 
Hivi tuseme mama leo aseme haya tuandike katiba, kwa bunge lipi la kufanya endorsement?

Hilihili bunge aliloliteuwa Magufuli la kina babu Tale?
Hilo ni bunge la Ccm.
 
Tunaenda kwny kura ya maoni
Bunge lilishakaa na Rais wa sasa ndie alikuwa Naibu Spika…hawezi kufuta kazi ya kihistoria aliyosimamia
Ni kweli kazi ya Bunge la katiba ilishakwisha (japo rasimu ya Warioba ilifinyangwa na wenye nchi) kilichobaki ni kura ya maoni tu.
 
Kwakweli ni batili kwa asilimia mia moja na haina weledi hata chembe wa kujiita kamati ya kusimamia jukumu kubwa kama hilo
Hahahahaaaa.. kamati yenyewe nimeona na yule Mufti wa Dar yumo naye, akitabasamu ulaji waliopewa.... kaaazi kwelikweli na tuwe wapole tu ...
 
Yanabana lakini yataachia.Katiba mpya ni lazima,huwezi kuzuia hitaji la wenye nchi yao🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
 
Watanzania wapole sana, tena tunakuwa wapole zaidi tunapozidi kuchokozwa, hii species yetu inatakiwa ipelekwe maabara kuchunguzwa ni ya sampuli gani.
tupunguzeni upole maana ukizidi tunaambiwa unaleta uzuzu - tujaribu kuwa serious kwenye mambo yenye maslahi ya taifa. Suala la katiba si la kuchezea namna hii - Katiba ndimo haki ilipo ya kila raia wa nchi hii.
 
Ni kweli kazi ya Bunge la katiba ilishakwisha (japo rasimu ya Warioba ilifinyangwa na wenye nchi) kilichobaki ni kura ya maoni tu.
Utaendaje kwenye kura ya maomi kwa kitu unachojua kilifinyangwa.Naamin ata hiyo rasimu ya warioba ina mambo mengi muhimu yakurekebisha maana kwa miaka tu ya hivi karibuni yamejitokeza mengi yakutufundisha.
 
Mutungi tangi ashike hiyo nafasi, kitu pekee alituhakikishia ni unafuki wake na kupenda kuwa kibaraka wa watawala.

Watawala walipoamua kumtumia Lipumba kuiua CUF, yeye akawa zuzu hadi kumpa pesa Lipumba huku kukiwa na zuio la baraza la wadhamini.

Leo watawala wamemweka pembeni Lipumba, na kumkumbatia Zito, naye kamweka Zito kwenye kamati yake isiyotambulika popote kisheria ili Zito aweze kupokea hongo ya watawala kupitia hiyo kamati.
 
Chief hangaya ameishanogewa ikulu hataki kuondoka kirahisi
 
Wakifikiria jinsi Uwepo wa Tume huru na katiba mpya utakavyoleta mabadiliko huku wakiamini hawajaacha ufisadi na wizi vichwa vinawauma sana
 
Mtungi mtamwonea tu anatumikia maslahi binafsi kama wanavyofanya viongozi wengine
 
Uchaguzi wa 2025 Mama hapati usingizi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…