Kamati iliyotoa Mapendekezo ya Kamati ya Msajili wa Vyama Kuhusu Katiba Mpya, Kisheria na Kimantiki ni Batili

Let’s just face it; Tanzanian opposition political parties are their own worst enemies!
Nakubaliana nawe kwa asilimia nyingi
Wapinzani hawana ujanja wa kubaini na kukwepa mitego ya CCM, partly because they are divided.
Ni kweli katika hili
Ni mmoja wa mitego uliyosema. Tulionya Msajili hana nia njema na Wapinzani na wala wasikae naye, watake kikao na serikali. Ni Chadema na NCCR Mageuzi waliokataa.
Kikao cha kwanza kikaahirishwa.

ACT Wazalendo kupitia TCD wakaingia mtegoni.
Ukubwa wa ACT ni chama kikuu cha Upinzania Zanzibar.
Kwa muundo wa siasa za nchi yetu ACT wana nguvu kisiasa hata kama ni kutoka Zanzibar.
ACT kukubali kikao kwa kujua akina Hamad na Mrema ni ''manunuzi'' ilikuwa kosa.

Kama ulivyosema CCM wanatumia Majoirty vote, sijui ACT na Zitto walifikiria nini

Hoja zako mbili hapo juu zina mantiki, kwanza, kukosa mbinu na pili kugawanyika.

Chadema, NCCR, ACT Wazalendo wangegomea task force ya Mkandala isingekuwepo

Hapa tuwe wakweli kuna makundi mawili yameuza 'dili''

ACT-Wazalendo na Zitto ambao hawana matumaini ya kupata chochote (Tume huru)

Wananchi wa Zanzibar waliopiga kelele na kutuvuruga miaka nenda rudi leo kama si wao

Siku uongozi utakaposhikwa na Mtanganyika, hatutaki kuwasikia akina Duni au Othaman.

Hatutakaa kusikiliza kelele za muungano au katiba mpya kutoka Zanzibar, waelewe.

Huu ni unafiki mkubwa sana wa Wazanzibar tuuseme! kipi kimebadilika enyi Wazanzibar?
Credit - NCCR ya Mbatia pia walikataa .

Waliouza ghala la silaha ni ACT-Wazalendo, hawa ndio tatizo lote lilipo.

Angalia picha za Ikulu au task force utaona wazi Zitto ana 'guilty' , ukweli utabaki pale pale ameuza Upinzani kama alivyouza Mrema.

Kwa hili ACT na Zitto wamechangia sana kuvuruga mchakato wa katiba
Hapa kuna tatizo kidogo. Sidhani kama vyama havitahitajiani.

Tatizo ni kuwa Msajili wa vyama amesajili vyama vingi tu pengine kisheria lakini vyote vina malengo maalumu. Hamad Rashid anaweza kuwa na chama, kina wanachama wangapi?
Akina Mrema mara ni wajumbe wa sijui Parole, ana kipi?

ACT-Wazalendo watapinga nini ikiwa wana 'ving'ora' vinawasindikiza- Shaka H Shaka

Kuna manunuzi makubwa, ni ngumu sana kupata vyama vyenye misimamo.

Hatari ninayoinona ni moja, vyama vikubwa bado vina influence, kutumia mamluki kunaweza kuwa tatizo.

Nchi nyingi zilijaribu lakini kuna wakati 'mass'' inaamua na hapo ukubwa wa chama una umuhimu. Hivi hatujifunzi ya Kenya 2007? Hatujifunzi ya Arab spring?
 
Wananchi wa kawaida wa South Africa wamefaidika vp kwa kutolewa Thabo mbeki na Zuma?

Naomba kukupinga.South Africa ingekuwa na katiba kama yetu basi Zuma angekuwa bado yuko Ikuru kama Museveni
 
waTanzania t
lakini dhambi aliyotufanyia JK kutuletea kichaa damage aliyoacha itatugharimu kwa muda mrefu ujao.

Kwahili mnaomlaumu sana mnamuonea maana yule kichaa yeye alitamka wazi katiba siyo kipaumbele chake
waTanzania tunaojitambua, tusiowanafiki, wazalendo tunataka KATIBA MPYA haraka iwezekanavyo.

Sio suala la rais, sio swala la vijikamati uchwara, sio swala la miaka tisa. Niliona clip fulani .... akihojiwa na Salim Kikeke wa BBC, akafura sana kuhusu suala la katiba.

Eti waTanzania walikuambia wewe wanataka katiba mpya?!, eti wanaodai katiba mpya ni watu wa mitandaoni etc. Kwa hili, yeye & co. walaanike sana.
 
Wananchi wa kawaida wa South Africa wamefaidika vp kwa kutolewa Thabo mbeki na Zuma?
Ni swali la kipuuzi. Kwako mtu wa kawaida kufaidika na uongozi mzuri unafikiria mpaka apewe pesa mkononi?

Ukiwa na uongozi mzuri, usiokubali rushwa, uongozi wenye maadili na maono, kutokana na uongozi mzuri, miradi ya umama ikatekelezeka vizuri na kwa kiwango kizuri, nafasi za ajira zikapatikana, bidhaa muhimu zikawafikia wananchi kwa bei nzuri, mtu wa kawaida hafaidiki?
 
Samia kwenye interview na Kikeke, alidhihirisha kupwaya kwa kiwango cha juu.

Hajui nafasi ya vyombo vya habari. Hajui kuwa anapohojiwa ndiyo wasaa sahihi wa kufafanua jambo aliloulizwa ili kuwatuliza wanaotaka majibu.
 
Wewe ni mpumbavu!
.
Niambie huyo mama yako, yule kichaa wako anamzuiaje kuanzisha huo mchakato kwa katiba mpya?


Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Mlishangilia mkisema anawakomesha sukuma gang ngoja awanyooshe, na hivi mmeungana na ccm kumsifu ili kumkomoa marehemu, 2025 ndio atawatagisha mayai kabisa.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Si mnasema katiba hii inampa power ya kufanya atakacho? Sasa hiyo hofu yake kutoka kwa hilo genge ni ya nini?

Kama aliweza kumfokea ndugai akamuondoa kwenye nafasi yake na tukashangilia sana, sembuse genge tu?

Akiamua kulitoa hilo genge si tutaungana nae kushangilia kuwatoa wote kama ilivyokuwa kwa ndugai ili kazi iwe rahisi?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Wewe mbwa, Samia akitaka katiba mpya hata kesho inakuja!

Wale wabunge hawana cha kufanya zaidi ya kupewa maelekezo tu kwamba pitisheni basi!

Kilichosababisha katiba ya Warioba kuishia njiani ni wabunge wa Magufuli?

Si wewe kila siku unabinua kiuno kwamba mitano tena kwa mama? Unamtenga vipi mama na ccm ile?

Msiwe wapumbavu kiasi hiki.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Ilikuwa lazima afe,ili Watanzania tupumue na kupata uelekeo ulio sahihi.

Sasa naona mapicha picha tena!!

Mungu atawanyoosha tena..
Ilikuwa lazima afe ili upumue ila bado unaona mapichapicha?

Huoni kama una shida kichwani?

Ndio maana ccm inawadharau sana

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Ilikuwa lazima afe ili upumue ila bado unaona mapichapicha?

Huoni kama una shida kichwani?

Ndio maana ccm inawadharau sana

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Wadharau ccm wenzio!
Miaka 60 ya uhuru bado tunatembeza bakuli,huku rasilimali nyingi zikimilikiwa na wageni!!😲
 
Binafsi naamini màma Ana nia njema sana kwa watz, pia anajua uharibifu uliofanywa na mtangulizi wake, moja ya uharibifu mkuu ni kuharibu component ya bunge.

Anajua hata tukitengeneza katiba nzuri kwa wabunge hawa wasio wakilisha wananchi, haita pita.

Mtangulizi wake aliwachagua wabunge hawa ili wampigie kura za kukiuka ukomo wa kuwa madarakani kama ilivyo kwenye katiba.
 
Ndio maana mimi nawaita nyie mnaomtupia lawama Magufuli kwamba ni wapumbavu!

Hivi wale wabunge wa bunge la katiba wa kipindi cha Jk wote mliwapigia kura?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Huwezijadili swala lililoko jukwaani hadi mtaje Hayati?

Ongelea jambo lililoko mezani.
Hayati wako lazima atajwe, kwani ndo ametuletea tatizo kubwa nchi hii.

Ametuwekea wabunge wake nchi nzima kwa faida yake mpaka tunaahirisha katiba mpya mana hawa hawawezi ipitisha katiba yenyemaslahi kwa wananchi mana hawatokani na wananchi.

Jiwe tutamkumbuka kwa uovu huu, hatuachi.

Aliwaweka hawa ili wabadili sheria ya ukomo wa kuwa raisi nchini, ila Mungu fundi!
 
Mlishangilia mkisema anawakomesha sukuma gang ngoja awanyooshe, na hivi mmeungana na ccm kumsifu ili kumkomoa marehemu, 2025 ndio atawatagisha mayai kabisa.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Una uhakika au unabahatisha? Wapi nimewahi kusema Mama anawakomesha sukama gang? Neno Sukuma gang, hapa ndiyo naliandika kwa mara ya kwanza. Kabla yake sijawahi.

Mimi si member wa siasa za ushabiki. Sina mtu wa kumshabikia, bali naushabikia ukweli na weledi. Kila aliye mkweli, kila aliye wa haki, mwenye weledi na mkweli wa nafsi yake, nitasimama na huyo. Rais Samia akitenda vema, nitampongeza. Akipotoka nitamkosoa. Ndivyo alivyo kwa mwingine yeyote.

Ukosoaji mwingi unakuwa dhidi ya CCM, kwa sababu imejaza watu wa ajabu, watu wasiojitambua, wenye upeo duni na wanafiki. Ni wachache sana, au niseme ni nadra sana kumwona mwanaCCM anayesimama katika ukweli wa nafsi yake.
 
Umuhimu wa Katiba mpya unautazama kwa ubora wa uchumi au nguvu ya kuntoa Rais?
Good governance and rule of law.

Nguvu ya kumtoa Rais ni moja ya positive outcomes.

Aidha, binafsi siko kwenye kundi la wenye hulka ya kutamani kuishi chini ya tawala za kidikteta almuradi uchumi una “nafuu” - a twisted notion.
 
Wananchi wa kawaida wa South Africa wamefaidika vp kwa kutolewa Thabo mbeki na Zuma?
Nchi imezidi kuimarika kidemokrasia na kimaendeleo.

Afrika kusini wana uhuru wa kuandamana iwapo hawaafiki na jambo.

Kiuchumi wapo juu sana zaidi yetu.

Umeshasikia msauzi kaja kuzamia Tanzania kutafuta maisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…