Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Mimi nawahakikishia Hajatokea MTU yoyote Tanzania awe Rais au Nani, HAJATOKEA ,HAYUPO NA HAKUNA AMBAYE ATAFUTA CHAMA CHA CHADEMA, HAYUPOOOO !!.
Hata awe ni Chawa wa namna gan, hata awe na Ulinzi wa aina gan, hata MCHINA AWE KAAHIDI KITU GAN , HAYUPO na hakuna yoyote mwenye ubavu hata Uthubutu kiduchu tu wa Kukifuta CHADEMA, HAYUPOOOO!!.
Kwa hiyo basi, Maamuzi ya Baraza Kuu kuwapitisha Wajumbe wa Kamati Kuu yalokua Halali .
Itakua ni ujinga mkubwa , kuingia kwenye mtego wa msajili wakati kamati kuu kikao kilichopita iliadhimia kurobadilisha chochote
Narudia, kamati kuu kesho kutwa isibadili chochote alafu tuone huyo mpumbavu kama atakifuta chadema.
Wachina na Warusi hawana Nafasi , Hawa wameamuriwa kuwepo Kwa Muda mfupi tu, ila Wachina na Warusi wataanguka, ANGUKO lao ni LAZIMA na La UHAKIKA , Ulaya na Marekan zitabakí zimesimama.
kwahiyo CHAMA kisiwagope wahuni wa Ofisi ya Msajili , WACHA WAFUTE ALAFU TUWAONE !!.