Uchaguzi 2020 Kamati Kuu CCM kuteua wagombea watatu (03) ambao watapigiwa kura wajumbe wa jimbo husika

Pigia mstari Hapo
 
Mimi bado nipo kwa hawa wenzangu wahamiaji hatma yao upone? Maana kura za maoni sidhani kuna hata mmoja anaweza penya walau kwa top ten.
🤣 🤣 wahakiaji wapo watakaotoboa, kwa sababu waliowahamisha wanajua sababu zilizowabeba na kuwahamishia side B
 
Hii itakuwa poa, hivi naruhusiwa kugombea majimbo zaidi ya moja? Mfano nikagombea hai bunda na tarime?
 
Hao watatu mmoja atakuwa mbunge mwingine DC na mwingine DED, Safi sana
 
Mimi bado nipo kwa hawa wenzangu wahamiaji hatma yao upone? Maana kura za maoni sidhani kuna hata mmoja anaweza penya walau kwa top ten.
Wasipopenya watapenyezwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…