wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Nimezoom picha angalau nimwone baa shiru na pelepele kwa kweli sijaambulia kituKamati Kuu (KK) ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imefanya kikao leo tarehe 28/04/2021 katika ukumbi wa Kamati hiyo uliopo ndani ya Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Ikumbukwe kwamba kikao hicho ni moja ya vikao vinavyofanyika kuelekea Mkutano Mkuu Maalum siku ya ijumaa tarehe 30/04/2021 ambao utakuwa na ajenda kubwa ya kumchagua Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa.
Vifuatazo ni baadhi ya picha za matukio yaliyojiri katika kikao hicho.
View attachment 1766654View attachment 1766656View attachment 1766658View attachment 1766659View attachment 1766662View attachment 1766663View attachment 1766665