Kamati Kuu CCM: Matukio katika Picha - Aprili 28, 2021

Kamati Kuu CCM: Matukio katika Picha - Aprili 28, 2021

Kuna watu wana chuki binafsi. Tukitaka kufika mbali lazima tutue huu mzigo wa chuki.
Kuna mtu aliyechochea chuki kubwa kuliko hata ile chuki ya ''Interahamwe''wa huko kwa Kagame, kama Baba yenu Jiwe?Baada ya kwendaZake ndiposa mnajifanya mmeongoka!!!Acheni unafiki basi??!!
 
nikiangalia hiyo corridor hapo namkumbuka sana mwamba wa saigon alivyommaliza swaiba wake wa siku nyingi..... jamaa alianzisha vita na watoto wa mjini mwishowe akapoteza ndoto zake na kuandika historia mpya ya maisha...wahuni sio watu wazuri... ile draft kete zilikuwa zinasukumwa balaa, ukisogeza mwenzio anasogeza.....CCM hatari sana..
Kwamba...
IMG_20201029_202741.jpg
 
Kamati Kuu (KK) ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imefanya kikao leo tarehe 28/04/2021 katika ukumbi wa Kamati hiyo uliopo ndani ya Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

Ikumbukwe kwamba kikao hicho ni moja ya vikao vinavyofanyika kuelekea Mkutano Mkuu Maalum siku ya ijumaa tarehe 30/04/2021 ambao utakuwa na ajenda kubwa ya kumchagua Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa.

Vifuatazo ni baadhi ya picha za matukio yaliyojiri katika kikao hicho.

View attachment 1766654View attachment 1766656View attachment 1766658View attachment 1766659View attachment 1766662View attachment 1766663View attachment 1766665
Chama cha majambazi
 
Back
Top Bottom