Kamati Kuu CCM: Matukio katika Picha - Aprili 28, 2021

Kamati Kuu CCM: Matukio katika Picha - Aprili 28, 2021

Mbona hatuwaoni wakina bashiru na pole×2
Hapo
Pole×2 naona sahv hazungumzi sana kama mwanzo kwenye media yuko kimya hajawaita wakina baby kabae

Ova
Kile kipindi cha papo kwa papo kina hali gani?

Kawaida Mwenyekiti wa chama ndiye msemaji mkuu wa chama lakini mara nyingi mwendazake alimtuma Polepole kuongea badala yake.
 
Kada mkongwe wa CCM mzee Mgaya anasema haijawahi kutokea tokea mfumo wa vyama vingi uanze kwa mji wa Dodoma gari karibia zote na nyumba zinapepea bendera za CCM.

Mabasi karibia yote yanayoingia stendi kuu yanapeperusha bendera.

Soko la Ndugai bendera kila meza.

Mnadani bendera kila jiko.

Ama kwa hakika CCM mbele kwa mbele, amemalizia Mgaya.

Kazi Iendelee!
 
Back
Top Bottom