Kamati Kuu CCM: Matukio katika Picha - Aprili 28, 2021

Wanafiki wapo kwenye "transition period" wanahamisha unafiki wao kutoka kwa mwendazake na sasa kuja rasmi kwa Mama SSH.
 
CCM babalao ikifanya mkutano mkuu au wa kamati kuu nchi lazima isimane na vyama vyote macho kodo dodoma dunia nzima vyombo vyote vya habari vya kimataifa vimweka kambi Dodoma sio kama vikamati kuu au mikutano mikuu ya Upinzani ambayo mwisho wao twitter na jamii forums
 
Machadema yamejiunga nasi tunademka wote kwa pamoja tukisema ccm mbele kwa mbele na mama Samia mi 10 tena,!
 
huo mkoa wa wagogo sijawahiona mgogo mwenye akili za maana
Ukikutana na mjinga, unapotaka chake, na wewe lazima uwe mjinga

Na ndiyo Maana chadema nyinyi ndio wajinga, kama mnadhani Dunia yote iko Sawa, hamtakaa mtawale Kwa kuwatusi ambao mnadhani wajinga, na hao mnaowaita wajinga, ni Lulu Kwa CCM

Nachukizwa Sana na midomo michafu ya machadema, mara sukuma gang, ili Hali Chama chenu kinasaka kuongoza nchi, hii inawapa watu kuwaepuka Baadhi ya makabila Kwa sababu ya kauli za kijinga zisizozongatia Utu wa mtu na kudhania kabila Fulani halitakiwi Kwenye Chama lenu

Ni watu wepi wa kuwaamini ninyi Ikiwa kila kabila ni wajinga ispokuwa wachaga pekee, pumbavu zenu na mtaishia kupata Kura hukohuko uchagani
 
Kada mkongwe wa CCM mzee Mgaya anasema haijawahi kutokea tokea mfumo wa vyama vingi uanze kwa mji wa Dodoma gari karibia zote na nyumba zinapepea bendera za CCM.

Mabasi karibia yote yanayoingia stendi kuu yanapeperusha bendera.

Soko la Ndugai bendera kila meza.

Mnadani bendera kila jiko.

Ama kwa hakika CCM mbele kwa mbele, amemalizia Mgaya.

Kazi Iendelee!
Ndiyo maana wagogo karibu wote ni masikini wa kutupwa na hawana elimu, nenda Udom kati ya wanafunzi elf 50 wagogo sidhani kama mnazidi mia, CCM inawapenda wajinga na maskini ndiyo maana imekita sehemu za wajinga na maskini. Sijawahi kuona mgogo tajiri maisha yangu yote.
 
Ccm siipendi lakini nchi hii hatuna chama cha upinzani mbadala wa CCM.

Chadema kina muundo wa kimafia ama gangstar style political party.

ACT ni kama chama cha kifalme, kina kiongozi mkuu nje ya mwenyekiti, yaani kiongozi asiechaguliwa na asiepigiwa kura ambae ana uwezo wa ku veto maamuzi yoyote ya chama kama hayaendi anavyotaka.

CUF ni branch ya CCM.

NCCR ni subsidiary wa CCM.

TLP ni investment ya CCM, yaani CCM wana significant influence kwenye maamuzi ya chama kuliko hata mwenyekiti.

Hapo aliebaki mwenye akili ni mzee Rungwe tatizo hana base ya watu. Yuko tu pale Makumbusho hata majirani zake hawamjui.

Vyama vingine vya kina Dovutwa ni vyama njaa.
 
Ukikutana na mjinga, unapotaka chake, na wewe lazima uwe mjinga

Na ndiyo Maana chadema nyinyi ndio wajinga, kama mnadhani Dunia yote iko Sawa, hamtakaa mtawale Kwa kuwatusi ambao mnadhani wajinga, na hao mnaowaita wajinga, ni Lulu Kwa CCM

Nachukizwa Sana na midomo michafu ya machadema, mara sukuma gang, ili Hali Chama chenu kinasaka kuongoza nchi, hii inawapa watu kuwaepuka Baadhi ya makabila Kwa sababu ya kauli za kijinga zisizozongatia Utu wa mtu na kudhania kabila Fulani halitakiwi Kwenye Chama lenu

Ni watu wepi wa kuwaamini ninyi Ikiwa kila kabila ni wajinga ispokuwa wachaga pekee, pumbavu zenu na mtaishia kupata Kura hukohuko uchagani
Bahati mbaya na wewe umekosea , umejikuta kwenye dhambi ilele ya ukabila. nasikitika.
Sisi ni watanzania.
 
Ndiyo maana wagogo karibu wote ni masikini wa kutupwa na hawana elimu, nenda Udom kati ya wanafunzi elf 50 wagogo sidhani kama mnazidi mia, CCM inawapenda wajinga na maskini ndiyo maana imekita sehemu za wajinga na maskini. Sijawahi kuona mgogo tajiri maisha yangu yote.
Ukiambiwa kutaja matajiri, nusu saa haiishi ushamaliza Kwa majina yao, na ukiambiwa kutaja maskini Kwa majina yao, wiki nzima itaisha na Bado unataja, Chama chenu ndo hakiwataki hao hata Kwa kuwendeleza, mnataka matajiri ili wawachangie na fedha ziishie Kwenye uwekezaji wa Mb...o.....w....e siyo??

Mnasafari ndefu ya kishika Dola Ikiwa maskini mnawatusi Kwa aina hiyo
 
Bahati mbaya na wewe umekosea , umejikuta kwenye dhambi ilele ya ukabila. nasikitika.
Sisi ni watanzania.
Basi tuijengeni Tanzania moja, bila kuwatusi watu wa kanda fulani hata kama unawazidi Elimu
 
Ukiambiwa kutaja matajiri, nusu saa haiishi ushamaliza Kwa majina yao, na ukiambiwa kutaja maskini Kwa majina yao, wiki nzima itaisha na Bado unataja, Chama chenu ndo hakiwataki hao hata Kwa kuwendeleza, mnataka matajiri ili wawachangie na fedha ziishie Kwenye uwekezaji wa Mb...o.....w....e siyo??

Mnasafari ndefu ya kishika Dola Ikiwa maskini mnawatusi Kwa aina hiyo
Ndiyo maana sehemu ilipo CDM hakuna nyumba za tembe
 
Mkuu, Kwani Hizo nyumba za kisasa ni utawala wa chadema umesababisha?? Hahahahaaa!!

Kwani chadema imewahi kuongoza nchi, ni lini chadema imewahi kutekeleza Ilani yake?
 
Ccm siipendi lakini nchi hii hatuna chama cha upinzani mbadala wa CCM.

Chadema kina muundo wa kimafia ama gangstar style political party.

ACT ni kama chama cha kifalme, kina kiongozi mkuu nje ya mwenyekiti, yaani kiongozi asiechaguliwa na asiepigiwa kura ambae ana uwezo wa ku veto maamuzi yoyote ya chama kama hayaendi anavyotaka.

CUF ni branch ya CCM.

NCCR ni subsidiary wa CCM.

TLP ni investment ya CCM, yaani CCM wana significant influence kwenye maamuzi ya chama kuliko hata mwenyekiti.

Hapo aliebaki mwenye akili ni mzee Rungwe tatizo hana base ya watu. Yuko tu pale Makumbusho hata majirani zake hawamjui.

Vyama vingine vya kina Dovutwa ni vyama njaa.
Mkuu kwanini usianzishe chama chako?
 
Back
Top Bottom