Kamati Kuu CCM: Matukio katika Picha - Aprili 28, 2021

Kamati Kuu CCM: Matukio katika Picha - Aprili 28, 2021

Ccm siipendi lakini nchi hii hatuna chama cha upinzani mbadala wa CCM.

Chadema kina muundo wa kimafia ama gangstar style political party.

ACT ni kama chama cha kifalme, kina kiongozi mkuu nje ya mwenyekiti, yaani kiongozi asiechaguliwa na asiepigiwa kura ambae ana uwezo wa ku veto maamuzi yoyote ya chama kama hayaendi anavyotaka.

CUF ni branch ya CCM.

NCCR ni subsidiary wa CCM.

TLP ni investment ya CCM, yaani CCM wana significant influence kwenye maamuzi ya chama kuliko hata mwenyekiti.

Hapo aliebaki mwenye akili ni mzee Rungwe tatizo hana base ya watu. Yuko tu pale Makumbusho hata majirani zake hawamjui.

Vyama vingine vya kina Dovutwa ni vyama njaa.
Akili zako bado hujaenda kwa chakubanga kuzichukua?
 
Kada mkongwe wa CCM mzee Mgaya anasema haijawahi kutokea tokea mfumo wa vyama vingi uanze kwa mji wa Dodoma gari karibia zote na nyumba zinapepea bendera za CCM.

Mabasi karibia yote yanayoingia stendi kuu yanapeperusha bendera.

Soko la Ndugai bendera kila meza.

Mnadani bendera kila jiko.

Ama kwa hakika CCM mbele kwa mbele, amemalizia Mgaya.

Kazi Iendelee!
Kwa upinzani huu wa kina mzee wa MIGA na wafuasiwake dizaini kama hawa bendera fuata upepo humu, ccm wata jinafasi sana kwenye nchi hii.
Mboe angemfunga breki za ulopokaji tundu asinge pata hasara kiasi hicho, nadhani anajuta sasaivi.

Mboe angecheza karatazake vizuri angepata wabunge angalau % 10 hivi, siaza zake kidogo zingeeleweka maana ni mstaarabu na mwenye busara kosalake ni kuwaamini machizi misifa wanaojifanya wajuaji.
 
Ndiyo maana wagogo karibu wote ni masikini wa kutupwa na hawana elimu, nenda Udom kati ya wanafunzi elf 50 wagogo sidhani kama mnazidi mia, CCM inawapenda wajinga na maskini ndiyo maana imekita sehemu za wajinga na maskini. Sijawahi kuona mgogo tajiri maisha yangu yote.
Hujawah kumuona Ndugai!??
 
Sio kweli.

Chadema imekua Arusha miaka 10 pale unga limited nyumba za udongo ziko katikati ya jiji.

Chaema imekua Singida Mashariki kwa Lissu nyumba za tembe za kutosha.

Chadema imekua Bunda nyumba za nyasi za kutosha.

Ni vizuri kuongea mambo ya maana humu.
Bila shaka huko kote ulipopataja hapajui
 
Mbona hatuwaoni wakina bashiru na pole×2
Hapo
Pole×2 naona sahv hazungumzi sana kama mwanzo kwenye media yuko kimya hajawaita wakina baby kabae

Ova
Hata jkm na krm siwaoni!
 
Kamati Kuu (KK) ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imefanya kikao leo tarehe 28/04/2021 katika ukumbi wa Kamati hiyo uliopo ndani ya Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

Ikumbukwe kwamba kikao hicho ni moja ya vikao vinavyofanyika kuelekea Mkutano Mkuu Maalum siku ya ijumaa tarehe 30/04/2021 ambao utakuwa na ajenda kubwa ya kumchagua Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa.

Vifuatazo ni baadhi ya picha za matukio yaliyojiri katika kikao hicho.

View attachment 1766654View attachment 1766656View attachment 1766658View attachment 1766659View attachment 1766662View attachment 1766663View attachment 1766665
Kila la Heri Kamati Kuu, tunasubiri wakati mkutano mkuu umchague SSH kuwa Mwenyekiti wa sita wa CCM. Tuna imani na Mhe. Samia Suluhu Hassan, CCM Oyee!
 
Chadema wao kila mwaka wanaibiwaga kura tu. Tangu nianze kujitambua nasikia chadema wanaibiwa kura mpaka leo.[emoji23][emoji23]
 
Screenshot_20210429-224309.png
 
Back
Top Bottom