Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Siku ambayo watajichanganya wacheze fair game ndio siku itakayokuwa history imebadilika kwao. Wasije kujaribu hata kidogo na nadhani wanajua sana.CCM bila police 👮♀️ ni wepesi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku ambayo watajichanganya wacheze fair game ndio siku itakayokuwa history imebadilika kwao. Wasije kujaribu hata kidogo na nadhani wanajua sana.CCM bila police 👮♀️ ni wepesi sana.
Hakuna kura za Hapana maana wameshaona game ilivyo na wamejulikana kabisa uzuri wake walianzisha wao wenyewe kura ya wazi na kesho itatumika hiyo hiyo.
😀😀😀😀😀mwenye akiri mkoa ule ni ndugai pekeake 😝😝😝😝😝😝😝huo mkoa wa wagogo sijawahiona mgogo mwenye akili za maana
Kihistoria rangi za CCM ni njano na kijani. Hii nyeusi kaasisi nani? Nini maana yake?
Kura za ndiyo kwa kada wa CCM.Leo tunampitisha mama kwa kishindo.....JK kwani anasemaje
MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM, DODOMA Kazi InaendeleaKila la Heri Kamati Kuu, tunasubiri wakati mkutano mkuu umchague SSH kuwa Mwenyekiti wa sita wa CCM. Tuna imani na Mhe. Samia Suluhu Hassan, CCM Oyee!
Haya mambo haya. Sababu hii inachekesha sana 😂😂😂😂😂😂Chadema wao kila mwaka wanaibiwaga kura tu. Tangu nianze kujitambua nasikia chadema wanaibiwa kura mpaka leo.[emoji23][emoji23]
Magamba yapi?Haya ndo yameifikisha hii nchi hapa,nikionaga haya magamba mengi mengi hv nataman kuhama nchi
Taasisi imaraCCM ni taasisi
BabalaoTaasisi imara
Mkuu anaitwa Ndg. Leila NgoziMkuu huyu mama upande wa kulia kavaa kiremba cheusi ni nani ?
Anaitwa nani ?
Ningekuwa naweza ... mashallah huyu mama
Ndiyo. Katiba ya Chama inaeleza bayana.Kumbe mwenyekiti wa chama na makamu wake hawajazi fomu za kuomba kuchaguliwa.
Very interesting to our CCM.
CCM mbele kwa mbeleBabalao
Hayo manguo ya kijaniMagamba yapi?
Inang'ara CCMHayo manguo ya kijani
Ni nani katika ccm huyu ?Mkuu anaitwa Ndg. Leila Ngozi
Ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kutoka Zanzibar.Ni nani katika ccm huyu ?
Nshamuona sana unguja kwenye mikutano ya Ccm
Dah ananikosha mno huyu dada.Mkuu anaitwa Ndg. Leila Ngozi