Kamati Kuu CCM: Matukio katika Picha - Aprili 28, 2021

Kamati Kuu CCM: Matukio katika Picha - Aprili 28, 2021

Baraka Mina

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2020
Posts
586
Reaction score
590
Kamati Kuu (KK) ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imefanya kikao leo tarehe 28/04/2021 katika ukumbi wa Kamati hiyo uliopo ndani ya Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

Ikumbukwe kwamba kikao hicho ni moja ya vikao vinavyofanyika kuelekea Mkutano Mkuu Maalum siku ya ijumaa tarehe 30/04/2021 ambao utakuwa na ajenda kubwa ya kumchagua Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa.

Vifuatazo ni baadhi ya picha za matukio yaliyojiri katika kikao hicho.

IMG-20210428-WA0098.jpg
IMG-20210428-WA0111.jpg
IMG-20210428-WA0094.jpg
IMG-20210428-WA0093.jpg
IMG-20210428-WA0096.jpg
IMG-20210428-WA0092.jpg
IMG-20210428-WA0090.jpg
 
Back
Top Bottom