Kamati kuu CCM yamtosa Hussein Bashe, adaiwa si raia wa Tanzania

hawa si kama Wazanzibar na Mwarabu wanasahau hata kuishi hapo Zanzibar walitolewa Bara kupelekwa visiwani kama manamba na watumwa! Leo hii ati wao ni tofauti na sisi!
 
Election calculator: Bashe 14,000 votes............Seleli 2,700 votes...... and the winner is....................... guess what...................(seleli) usimwambie mtu kama hawajaona.
 
Ndio watakubali kwamba wamepigwa bao.
Hana njia nyingine ya kuingia mjengoni. Akiinua kichwa tu,kesho yuko kwao Somalia. Kama ni kweli kafanywa hivyo,naamini siasa ataachana nayo afanye mambo mengine.

Hata hivyo, ndio maisha yenyewe.
 
Huko Nzega inasemekana mtu wa tatu ndiye kachukuliwa na wala sio Selelii. Jina lake silikumbuki vizuri nafikiri ni yule daktari.
 
eti nasikia Aden Rage nae wanataka kumuondoa kisa ni Msomali. hakika yanipasa kuwaacha wafu wazikane wenyewe kwa wenyewe.
=======
Itabidi watose mkoa mzima wa Tabora maana majimbo yote kasoro mawili, walioshinda kura za maoni wana asili ya Somalia. Ni Samweli Sita na Said Nkumba. Waliobaki ni wasomali na Muirani mmoja.
 
utakalo jifunza kwa ccm ni kuwa fisadi tu,
ama kuwa tapeli, ccm ni miongoni mwa vyama,
vinavyoongozwa kimbu mbumbu sana na
ujanja ujanja tu, hivyo hakuna la kujifunza kwao
 
 
It is one of the ways of cutting RA to size!! Kinachonishangaza ni jinsi gani iliwezekana kumuengua Bashe kwa kigezo cha uraia wa Somalia wakati Msomali mwenzie Kinana akiwa katika kikao hicho; au pengine hakuwemo? Aden Rage je yeye sio Msomali?
 
Afadhali naona umenisaidia, nilikuwa najiuliza huyu mtu anayeongelewa, BASHE ni mtu wa dizaini gani?. Hizi shughuli zangu za uvuvi huku visiwani naona zinanikosesha mambo mengi~itabidi nizisimamishe mpaka baada ya uchaguzi!.
 
huyo Bashe kwa nini wasimrudishe kwao Somaria/ au ana hati ya ukimbizi. Naona ndio maana bongo imekuwa mlango wa wasomari HATUFAI kabisa. kwanza WASOMALI,WAHINDI, WAARABU,WAZUNGU(hawapo), NA WASIO WATZ Original hawatufai, sijui watu wa nchi hii hufikiria nii kuwa nafasi.
 
Nakuunga mkono 100%, Sijui akili zao hazina akili, hawaoni kule Mbeya Kina Mwa...

 
Mkuu kuna thread moja ilianzishwa wakati wa kampeni, naitafuta siioni.... nilipinga sana hoja ya hamisi kuwa mgombea against selelii, nilijua asingepeta kwa namna yoyote ile unless kuna zengwe; alas, sikukumbuka kwamba technical know who applies!!!! so hiyo intoxication ya politics za CCM sahau

Ila kwa moyo safu nampongeza kwani yeye ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano... but his task ahead is even worse kutokana na sentiments za wenye mrengo wa kati
 
mtu asiye raia na mzalendo hana machungu na nchi....nakumbuka jinsi ADEN RAGE alivyosababisha TANZANIA kuzuiwa na FIFA mpaka ilpomrudisha madarakani....WAMBURA akataka fanya hivyo wenye busara wakamuonya kuwa usipeleke suala lako mahakamani tusije fungiwa akatiii nasema hivi nikiwa mnazi wa SIMBA SC......CHADEMA wamemchukuwa ARCADO NTAGAZWA ambaye si raia wa TANZANIA.......uthibitisho ni kuwa alikuwa na ndugu zako MAKAMBINI (UNHCR).......wajiandae na THE SAME WHIP!
 
naona hii sredi inaelekea ndiko siko... Yaani leo ndio tunamtupa Bashe??? na zile fitna zote ndani ya nchi ndio tunakumbuka si mwenzetu? watu waliwahi hoji mzee wetu wa heshima kinana, hivi naye mamake aliukana usomali??

Guys, hii dhambi na ile ya udini vitaharibu uchaguzi wa mwaka huu
 

Hebu wacheni chuki za kijinga nyinyi, leo hii munapokea misaada kutoka kwa Wajerumani na Waingereza waliowatawala hapo kabla na kuwachapa viboko pale mababu zenu walipokataa kufanya kazi.

Na kwa nini munamuhukumu mtu kwa kosa alilofanya babu wa babu yake (bila ya uhakika) miaka zaidi ya mia moja nyuma?

Chuki hizi hazitaleta maendeleo yo yote bali kuturudisha nyuma kimawazo. Mtu ahukumiwe kwa vitendo alivyofanya yeye na siyo jamaa yake wa miaka mia moja nyuma.
 
Hii nchi inapotea
kweli kabisa mkuu... kibaya zaidi, ni ile dhambi ya ukabila inaanza kunyevua... kuna siku tutafukuza wambulu wote nchini warudi kwani ukushi wakafufue mama zao waje waukane uraia, kisha tutamfukuza richard madala, tunapekenyua mafaili ya wangoni wote, wanyambo na wahangaza halafu tutaigawa hii nchi vipande, kwisha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…