GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Habari za uhakika ni kwamba kaka yangu jina limerudi🤸.
Huenda tukapata mbunge kwenye familia yetu.
Nawasilisha.
 
Gambo out
 
Dah! Huyu jamaa alicharazwa viboko na kada mwenzake mwenye afya mgogoro, na hilo limwili lake alishindwa kabisa eti kujitetea!
 
CCM ni wahuni wa kutupwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…