Sawa, huyo mboye atarudiMsajili wa vyama vya siasa ametengua uongozi wa chadema uliopatikana kwa mkutano na uchaguzi batili. Kama viongozi wote wale ni batili maana yake hata kamati kuu ni batili pia, hivyo haiwezi kuwa na uhalali wa kukaimisha viongozi,
Kama msajili ametegua uongozi uliopo maana yake uongozi uliokuwepo mwanzo wa akina mboye inatakiwa urudi madarakani hadi hapo itakaopothibitika vinginevyo kama uongozi mpya ni sahihi.
Au nakosea?
Kwa hiyo barua aliyoiandika alimpelekea nani?Msajili wa vyama vya siasa ametengua uongozi wa chadema uliopatikana kwa mkutano na uchaguzi batili. Kama viongozi wote wale ni batili maana yake hata kamati kuu ni batili pia, hivyo haiwezi kuwa na uhalali wa kukaimisha viongozi,
Kama msajili ametegua uongozi uliopo maana yake uongozi uliokuwepo mwanzo wa akina mboye inatakiwa urudi madarakani hadi hapo itakaopothibitika vinginevyo kama uongozi mpya ni sahihi.
Au nakosea?
Soma id yake polepole,utaona aliyeandika uzi akili zake zinafanana na mdudu gani!Ndiyo maana mnashangilia hata wenye PhD za mazabe kama kina bi kiziwi. Inakuaje mtu mwenye PhD anaongea akiwa raisi tena mambo serious kama yupo kwenye kitchen party huko kwao ?
Yaani unajua kabisa unaongea ujinga halafu unatuuliza sisi tena? Umeandika utumboAu nakosea?
Kaa na msajili wako na teua ya kwenu, chadema ina vichwa,Msajili wa vyama vya siasa ametengua uongozi wa chadema uliopatikana kwa mkutano na uchaguzi batili. Kama viongozi wote wale ni batili maana yake hata kamati kuu ni batili pia, hivyo haiwezi kuwa na uhalali wa kukaimisha viongozi,
Kama msajili ametegua uongozi uliopo maana yake uongozi uliokuwepo mwanzo wa akina mboye inatakiwa urudi madarakani hadi hapo itakaopothibitika vinginevyo kama uongozi mpya ni sahihi.
Au nakosea?
Msajili wa vyama vya siasa ametengua uongozi wa chadema uliopatikana kwa mkutano na uchaguzi batili. Kama viongozi wote wale ni batili maana yake hata kamati kuu ni batili pia, hivyo haiwezi kuwa na uhalali wa kukaimisha viongozi,
Kama msajili ametegua uongozi uliopo maana yake uongozi uliokuwepo mwanzo wa akina mboye inatakiwa urudi madarakani hadi hapo itakaopothibitika vinginevyo kama uongozi mpya ni sahihi.
Au nakosea?
Nilisikia tu kuwa akidi ya wajumbe halali wa mkutano mkuu wao ule ilikuwa haijatimia, na Kuna watu walipiga kura ambao hawakuwa wajumbe, hivyo Kila zao la mkutano na uchaguzi ule lilikuwa bhatili. Au nakosea?Kwa hiyo barua aliyoiandika alimpelekea nani?
Unaelewa hata kilichoandikwa na msajiri kilikuwa kinahusiana na nini?
Kama msajili hawatambui Karibu mkuu, manaibu makatibu wakuu na wajumbe wa kamati kuu, je hapo Kuna kamati kuu? Je kama kamati kuu ni bhatili je, inayo nguvu ya kukaimisha Katibu Mkuu na manaibu wake na wengine iliyowakaimisha?..Msajili hajatengua uongozi wa Chadema.
..Kilichotokea ni Msajili amesema hawatambui wafuatao.
1.Katibu Mkuu.
2.Manaibu Katibu wakuu.
3.wajumbe wa Kamati Kuu walioteuliwa na Mwenyekiti.
4. Sekretariat ya Chadema iliyoteuliwa na Kamati Kuu.
..Mpaka hapo utaona kwamba hao sio uongozi mzima wa Chadema, au wajumbe wote wa Kamati Kuu.
..Sehemu kubwa ya wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema inatokana na watu wanapata uhalali kutokana na nafasi zao, mfano, Wenyeviti wa Kanda, Wenyeviti wa Mabaraza, etc.
Kavulana vipi chuki yako kwa chama pendwa?Chuki pelekavpale chaubwabwa kwani kimevamiwa na wasaliti.Msajili wa vyama vya siasa ametengua uongozi wa chadema uliopatikana kwa mkutano na uchaguzi batili. Kama viongozi wote wale ni batili maana yake hata kamati kuu ni batili pia, hivyo haiwezi kuwa na uhalali wa kukaimisha viongozi,
Kama msajili ametegua uongozi uliopo maana yake uongozi uliokuwepo mwanzo wa akina mboye inatakiwa urudi madarakani hadi hapo itakaopothibitika vinginevyo kama uongozi mpya ni sahihi.
Au nakosea?
Hili swali walijibu CCMJe, haramu inazaa halali?
Sina chuki hata kidogo, mm ni muumini mkubwa wa vyama vikunwa 2 vyenye nguvu vinavyopokezana uongozi. Lakini sipendi chama kinachosukumwa na wazungu wa Magharibi nyuma.Kavulana vipi chuki yako kwa chama pendwa?Chuki pelekavpale chaubwabwa kwani kimevamiwa na wasaliti.