Kamati kuu CHADEMA ni batili kukaimisha ni batili na waliokaimishwa ni batili

Sina chuki hata kidogo, mm ni muumini mkubwa wa vyama vikunwa 2 vyenye nguvu vinavyopokezana uongozi. Lakini sipendi chama kinachosukumwa na wazungu wa Magharibi nyuma.
Shule zisifungwe ili tuendelee kujenga uwezo wa akili wa watu wetu.
 
Jibu swali tafadhali juu ya nguvu na uhalali wa kamati kuu batili kwa mujibu wa msajili wa vyama vya siasa kuweza kuketi na kukaimisha viongozi wapya au walewale ambao ni batili kwenye nafasi zilezile ambazo msajili amewatuhumu nazo kiasi cha hata kuzuia ruzuku ya chama.
 
Jibu swali tafadhali juu ya nguvu na uhalali wa kamati kuu batili kwa mujibu wa msajili wa vyama vya siasa kuweza kuketi na kukaimisha viongozi wapya au walewale ambao ni batili.
Karani anapitisha tu agenda kijani
 
Msajili wa vyama vya siasa ametengua uongozi wa chadema uliopatikana kwa mkutano na uchaguzi batili. Kama viongozi wote wale ni batili maana yake hata kamati kuu ni batili pia, hivyo haiwezi kuwa na uhalali wa kukaimisha viongozi,

Kama msajili ametegua uongozi uliopo maana yake uongozi uliokuwepo mwanzo wa akina mboye inatakiwa urudi madarakani hadi hapo itakaopothibitika vinginevyo kama uongozi mpya ni sahihi.

Au nakosea?
Wapuuzi wa CCM mnahangaika sana uchaguzi wenu tumewaachia muibiane na vibaraka wenu bado mnatufuata fuata.
 
Aliyepinga maamuzi ya Baraza Kuu sio mjumbe wa Baraza Kuu na Wala hakushiri Mkutano huo.
 
Jibu swali tafadhali juu ya nguvu na uhalali wa kamati kuu batili kwa mujibu wa msajili wa vyama vya siasa kuweza kuketi na kukaimisha viongozi wapya au walewale ambao ni batili kwenye nafasi zilezile ambazo msajili amewatuhumu nazo kiasi cha hata kuzuia ruzuku ya chama.

Ubatili unatokea wapi?. Usijekuta Msajili ndio batili
 
Nilisikia tu kuwa akidi ya wajumbe halali wa mkutano mkuu wao ule ilikuwa haijatimia, na Kuna watu walipiga kura ambao hawakuwa wajumbe, hivyo Kila zao la mkutano na uchaguzi ule lilikuwa bhatili. Au nakosea?
Kamuulize mamako
 
Chadema wapumbavu sana
Mimi Chaumwa na husikaje na Chadema,ila kwenye ukweli nitawaambieni hata iwapo kwa wivu wenu mkaanza kukisaka kichwa changu kama mnavyofanya kwa kile cha gwaji
 
Msajili wa vyama vya siasa ametengua uongozi wa chadema uliopatikana kwa mkutano na uchaguzi batili. Kama viongozi wote wale ni batili maana yake hata kamati kuu ni batili pia, hivyo haiwezi kuwa na uhalali wa kukaimisha viongozi,

Kama msajili ametegua uongozi uliopo maana yake uongozi uliokuwepo mwanzo wa akina mboye inatakiwa urudi madarakani hadi hapo itakaopothibitika vinginevyo kama uongozi mpya ni sahihi.

Au nakosea?
Wewe ni mtumwa wa akili
 
Batili ni batili tu.Hawataki kubadilika
 
Halitegemewi jema kutoka kwa msajiri.
 
Uongozi wa CHADEMA unajuwaje batili wakati uchaguzi ulifanyika kwa uhuru na uwazi na kila mtu akashuhudia hadi msajili mwenyewe na wanaomtuma? Mbona hakuingilia uteuzi wa CCM wa mgombea urais uliofanywa kinyume na Katiba ya chama cha Mapinduzi?
 
Sina chuki hata kidogo, mm ni muumini mkubwa wa vyama vikunwa 2 vyenye nguvu vinavyopokezana uongozi. Lakini sipendi chama kinachosukumwa na wazungu wa Magharibi nyuma.
Unapenda chama kinachosukumwa na wachina nyuma?
 
Kama msajili ametegua uongozi uliopo maana yake uongozi uliokuwepo mwanzo wa akina mboye inatakiwa urudi madarakani hadi hapo itakaopothibitika vinginevyo kama uongozi mpya ni sahihi.

Au nakosea?
Mboye ndiyo nani?
 
Msajili wa vyama vya siasa ametengua uongozi wa chadema uliopatikana kwa mkutano na uchaguzi batili. Kama viongozi wote wale ni batili maana yake hata kamati kuu ni batili pia, hivyo haiwezi kuwa na uhalali wa kukaimisha viongozi,

Kama msajili ametegua uongozi uliopo maana yake uongozi uliokuwepo mwanzo wa akina mboye inatakiwa urudi madarakani hadi hapo itakaopothibitika vinginevyo kama uongozi mpya ni sahihi.

Au nakosea?
Hata tume huru ya uchaguzi ni batili kwani ni walewale wa tume ya uchaguzi, kilichofanyika ni kusilimu
 
Back
Top Bottom